Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,354
- 829,539
6 Usile chakula cha mtu bahili, wala usitamani mapochopochorts yake,
7 maana moyoni mwake anahesabu unachokula.a Atakuambia, "Kula, kunywa!" lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe.
8 Utatapika vipande ulivyokula; shukrani zako zote zitakuwa za bure.
🥺🥺🥺🤔🙇🏿♂🙇🏿♂🙌🏿🚶🏾🚶🏾🚶🏾🏃🏿🏃🏿
Kwahiyo tusile vya watu bahili.. Lakini Mpare naye ni mtu.. Au yeye kwenye hili kundi hayupo!?🤔
Tumeambiwa kuwa ukisikia mtu ana mkono mrefu basi huyo ni mwizi🥺.. Lakini pia tunaambiwa ya kwamba hatuwezi kuikimbia serikali ina mkono mrefu.. Kwahiyo serikali ni mwizi? Nachanganyikiwa kabisa!
udaribarla