Hayo maisha ya kila siku, uamuzi mmoja unaweza ukaharibu lakini kuharibu ndiyo kujifunza. Hutarudia na inabidi utafute njia mbadala.
jiwe alishaonya na wabunge wa kusini akatishia kuwafutia uanachama kupitia bashiru then akawatisha kupiga mashangazi wa majaliwa unataka tuseme nini tena?si alijivunia wanajeshi?Una fikra zozote za utatuzi au ushauri au wewe ni Kama mke mwenza, unayoyafahamu ni matatizo tu bila kuwa na ufumbuzi?
Wewe ni mjingaMara nyinyi huwa si ijibu post kwa kutazama ID natazama "content" ya post. Ukiona hivyo ujuwe "content" ya "post" yako haina heshima.
Kuijenga nchi ni process ya daima milele. Haitoisha kuharibu na kutengeneza, milele. Ndiyo sababu kuu ya kwenda shule ili tujifunze kwa wale wa kabla yetu na turejee turekebishe makosa yetu na wenzetu huko Usoni wasiyarudie.Kwa miaka 50 sasa tunaharibu, na makosa mengine yanatuchukua za ya miaka 10-20 ili kukaa sawa na kuanza upya lakini bado tunarudia day day.. Unafikiri itachukua miaka mingapi kurekebisha makosa ya awamu ya tatu na kukaa sawa..
Nnakushangaa sana unajibizana na mjinga! Sasa sifahamu nikuiteje unaebishana na mjinga?
Kuijenga nchi ni process ya daima milele. Haitoisha kuharibu na kutengeneza, milele. Ndiyo sababu ya kuu ya kwenda shule ili tujifunze kwa wale wa kabla yetu na turejee iishe makosa yetu na wenezetu huko Usonian wasiyarudie.
Mfano, juzi juzi tu Tanzania kuna makabila yalikuwa yanatembea uchi wa mnyama, nimeona kwa macho yangu niliposafiri mikoani miaka ya 70s. Leo mikoa hiyo hiyo ndiyo wavaa suti wazuri. Wamejifunza na sidhani kama watapenda kutembea utupu tena.
Ikija awamu ya 6 Iwanyanganye hivyo viwanda kuwa awamu ya 5 iliwapa support kiupendeleo? Dawa ni katiba tu ndiyo itakayo linda uchumi na mustakabali wa Taifamada upo sawa, serikali inabidi itoe support sector binafsi. Risk ni nyingi katika Biashara. Ilifanyika dhambi kuwabeza sector binafsi sakata la Korosho. Waombwe radhi tufungue ukurasa mpya. Wengi wenu kijani mlifisia sana maamuzi yale ya dharula yasiyo na tija.
Kwao wapi na yule ni wa kizazi cha tano hapa hapa nchini. Wacha ubaguzi.
Biashara ya ku process korosho ni tofauti na biashara zingine, inabidi uwe na mtaji mkubwa wa kununua korosho wakati wa msimu. Kama haupo kwenye biashara hiyo ni vigumu kuingia kwa nguvu mwanzoni. Si unaona hata serikali bado haijalipa korosho zote mpaka sasa.Kuna swali hujajiuliza, ni kwa vipi hao Wafanyabiashara hawajaiona hiyo fursa hiyo kwa miaka yote. Unadhani ni kwa sababu ya kutokuwa na fedha?
Haijalishi pesa zake anaweka wapi, ni mali yake. Nchi zote duniani hakuna mfanya biashara mkubwa mwenye kuweka pesa sehemu moja. Hata Mbowe ana majumba UK na Dubai nahatufahamu pesa ngapi anazo huko.Na wewe unamuamini kabisa? Haaaahaaaa
Hawanaga kizazi cha tano wala cha kumi. Wanajua hela tu. Zinaenda Canada na UK.
Halafu walipewa viwanda wakati ule wa ubinafishaji. Wangapi ambao ni kizazi cha kumi, bado wanaviendesha viwanda hivyo?
Na wewe unakuwa kama "mke mwenza" aka baba salehe. Malalamiko tu bila ushauri. Tutafika tu. Tulipo sipo tulipotoka, tokea enzi za Nyerere gari zilikuwa anasa mpaka sasa ni hitaji muhimu.Tuliowapa dhamana ya kuongoza nchi hawaonyeshi dhamira ya kuijenga hivyo kuna hatari mpaka kiama hawa watu wakashindwa kuijenga nchi kwa hizi mbinu za zama za mawe..
Matokeo chanya ya jambo lolote huanza na mbinu thabiti zinazoonyesha uhalisia, mpaka sasa hizo mbinu hazionekani zaidi ya kubahatisha bahatisha tu na kutumia propaganda za makada kama kinga..
Na wewe unakuwa kama "mke mwenza" aka baba salehe. Malalamiko tu bila ushauri. Tutafika tu. Tulipo sipo tulipotoka, tokea enzi za Nyerere gari zilikuwa anasa mpaka sasa ni hitaji muhimu.
Huo ndiyo ushauri wa korosho?Ushauri huuoni tu, unapoambiwa mbinu thabiti hutoa uelekeo wa matokeo huelewi tu..unapoambiwa CCM ni tatizo hujui tu jibu nini mbona unakuwa kama hujabalehe na hujui unapokuwa chumbani mtoto wa kike jukumu lake nini..
Huo ndiyo ushauri wa korosho?
Si ufipa wangezinunua na kuzitafutia soko tungejua aaah kweli hapa kuna mbadala.
Kuiacha CCM na kuhamia chama cha upinzani ni sawa na kuruka mkojo kukanyaga mavi.
Muulize Lowassa akueleze.