Tafakuri ya FaiizaFoxy 4: Historia. Professor Rudolph T. Ware III ni Mohamed Said wa USA?

Alama Mohamed Said ameleta mabadiliko ya historia ya Tanganyika katika medani ya Uhuru na "resistance" iliyofanywa kwa juhudi kubwa ya "Vita ya majimaji" na juhudi binafsi za na nani alikuwa Mkwawa.

Historia hizo tatu kwa uchache zimetufungua macho kwa kiasi kikubwa kuelewa "role" ya wazee wetu na nani haswa walikuwa ni wazalendo wa kweli waliokataa kutawaliwa.

Kwa upande mwegine, ninapomsoma na kumsikiliza Professor Rudolph T. Ware wa USA akimwaga madini yake aliyoyafanyia utafiti wa kina, nnadiriki kusema kuwa Professor Rudolph Ware, tayari na kwa mafanikio makubwa, kama yale ya Alama Mohamed Said ameweza kubadili na anaendelea kwa juhudi kubwa sana kuweka sawa historia inayopotoshwa / iliyopotoshwa kwa namna moja au nyengine.

Naomba tumsikilize kwa umakini Professor Rudolph Ware akiiweka sawa historia utumwa.

Wewe ajuza hata sijahangaika kusoma maandishi yako. Najua unatoaga Boko tu.

Sio darsa ni darasa na sio khiyana ni hiyana acha kutuharibia kiswahili ajuza wewe.

BTW hii mada haina maana ni ya kijinga ndio maana inapitwa kama mwanamke malaya
Drip,
Kuwa muungwana la unachojua ni matusi si majadiliano utapigwa ban.
 
Dripboy,
Huu ni uwanja tunafanya majadiliano hatutukanani.

Ilikuwa uulize tu ni mabadiliko gani Mohamed Said kaleta katika historia ya Tanganyika.

Hapo sote tungechangia na kukuza elimu zetu.

Sahihisho ya lugha.
Ni "mabadiliko," si "mabadiriko."
Kumbe kuuliza siku hizi ni matusi? Basi nitatukana sana JF
 
Huyo anaejiita Dripboy ni "typical" punguani wa zao la "single mother", si unaona jinsi asivyo na adabu katika maandiko yake humu?

Huyo ni wale watoto ambao kila mwanamme anaeingia kwao anaambiwa "mwamkie baba'ko". Mwishowe wanadhani kila mtu anaweza kuwa baba wa yeyote.

Afanaalek kufa hakuna break.
Wewe bibi unazo akili za nyuma sana.
Naona unauchochea moto ulioanza kuzima, unaleta dharau za kibibi bibi mkuda wewe
 
Huyo anaejiita Dripboy ni "typical" punguani wa zao la "single mother", si unaona jinsi asivyo na adabu katika maandiko yake humu?

Huyo ni wale watoto ambao kila mwanamme anaeingia kwao anaambiwa "mwamkie baba'ko". Mwishowe wanadhani kila mtu anaweza kuwa baba wa yeyote.

Afanaalek kufa hakuna break.
Ahaaaaaaa humo humo Mama Yngu Mie Waukae...
 
"Alim" ni msomi, "Alama" ni Mwalim wa wasomi.

Kama ndio hii maana yake ungetumia tamko "Ulamaa" ingeleta maana zaidi kuliko tamko "Alama" sababu kutofautisha inakuwa ngumu hata katika sentensi sahali.

Japokuwa tamko "Ulamaa" kiasili ni wingi ila kwetu sisi waswahili tumelipa sifa ya umoja na wingi wake ni Maulamaa,hii ni kwa mujibu wa tunavyowasikia Waswahili.
 
Alama ni sahihi kabisa na mpaka kuna watu hupewa jina hilo kwa sifa zake.

Ni sifa na jina adhyim na adim, hupewa wake kwa kwa waume, halina "gender".
 
Back
Top Bottom