Tatizo la katoon inaweza kukupeleka mahali ambapo sipo mchoraji alipopatarajia.
Unaweza kumuona MTU huyu anafanana na fulani ukimwuliza mchoraji anakwambia hii picha nimebuni tu.
Ndio maana huwa sizishabikii sana ni kama mpira wa penati unapigwa huku wewe unaruka kuleee