Tafakari....

dudupori

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
1,793
1,903
Hebu fikiria we Baba umepata safari ya kikazi miezi mitatu. Siku unarudi unamkuta mkeo mpendwa kavaa kanga yenye maandishi, "KULIKO KIOZE, HERI NIMPE JIRANI".
Ungechukua uamuzi gani?
 
dudupori mpaka tumlete JOTI akuaibishe kwa kukopi na kupesti???
 
Last edited by a moderator:
Bora mimi GF wangu ajui kiswahil, yeye ni kilugha tu :lol:
 
Hebu fikiria we Baba umepata safari ya kikazi miezi mitatu. Siku unarudi unamkuta mkeo mpendwa kavaa kanga yenye maandishi, "KULIKO KIOZE, HERI NIMPE JIRANI".
Ungechukua uamuzi gani?

Je kama majirani wote ni wamama wajane??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom