Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,870
- 155,831
- Thread starter
- #21
Ndio tuuseme/ tuuweke waziMakampuni ya mabeberu huwa yanafuata nini Afrika? Ukishajua, ndio utajua tuna mchango gani
Ndio tuuseme/ tuuweke waziMakampuni ya mabeberu huwa yanafuata nini Afrika? Ukishajua, ndio utajua tuna mchango gani
Naamini una ubongo kichwani kwako, nimekwambia jiulize makampuni ya mabeberu yanafuata nini Afrika? Na nikasema, ukipata jibu, basi utajua mchango wetu ni upi. Sasa niambia, umepata jibu gani? Liweke hapa, maana huo ndio mchango wetu.Ndio tuuseme/ tuuweke wazi
Na hakuna vita vyovyote! Anayeshadadia kuwaita mabeberu alikuwa kwenye ziara huko huko kwa mabeberu, akiwasalimu kwa kuinama kabisa!Katika ulimwengu huu uliostaarabika
Mabeberu wametengeneza magari, ndege, meli, Traini, pikipiki mpaka baiskeli.
Mabeberu wametengeneza simu za Kila aina, mitandao ya Kila aina , yahoo, google, tweeter, Facebook..Instagram,telegram,viber,
Skype , zoom , Microsoft teams nk
Hii yote ni kupata taarifa na muunganiko wa watu duniani.
Sisi watu weusi Pamoja na ubaya tunaodai mabeberu wanao, hasa Tanzania . Tumechangia nini katika kwa maendeleo haya ya Dunia?
Hii sumu ya kuwa mabeberu wanatuonea wivu waafrika wingi,tumelishwa na viongozi wetu waliochukua madaraka kutoka kwa wakoloni kwa mbwembwe,then wakashindwa kuwaletea wananchi wao maendeleo,kisingizio kilikuwa ni mabeberu hawatupendiKatika ulimwengu huu uliostaarabika
Mabeberu wametengeneza magari, ndege, meli, Traini, pikipiki mpaka baiskeli.
Mabeberu wametengeneza simu za Kila aina, mitandao ya Kila aina , yahoo, google, tweeter, Facebook..Instagram,telegram,viber,
Skype , zoom , Microsoft teams nk
Hii yote ni kupata taarifa na muunganiko wa watu duniani.
Sisi watu weusi Pamoja na ubaya tunaodai mabeberu wanao, hasa Tanzania . Tumechangia nini katika kwa maendeleo haya ya Dunia?
Very sad. Miaka ya sitini 🐅 Tiger Countries zilikuwa fukara kama sisi, leo nchi hizo ni tajiri sanaHii sumu ya kuwa mabeberu wanatuonea wivu waafrika wingi,tumelishwa na viongozi wetu waliochukua madaraka kutoka kwa wakoloni kwa mbwembwe,then wakashindwa kuwaletea wananchi wao maendeleo,kisingizio kilikuwa ni mabeberu hawatupendi
DuhNa hakuna vita vyovyote! Anayeshadadia kuwaita mabeberu alikuwa kwenye ziara huko huko kwa mabeberu, akiwasalimu kwa kuinama kabisa!
Naamini una ubongo kichwani kwako, nimekwambia jiulize makampuni ya mabeberu yanafuata nini Afrika? Na nikasema, ukipata jibu, basi utajua mchango wetu ni upi. Sasa niambia, umepata jibu gani? Liweke hapa, maana huo ndio mchango wetu.
Ramli, wao wanaweza!!!?Sisi watu weusi Pamoja na ubaya tunaodai mabeberu wanao, hasa Tanzania . Tumechangia nini katika kwa maendeleo haya ya Dunia?
Jamaa Kisha sema anahitaji kuombewa. Kile kichwa ni abnormal loadNi ujinga wa kiongozi wetu kutokufuata misingi ya demokrasia na kua incompetent katika suala ya uongozi wake,kirahisi kwake ni kutaka kugeuza wananchi wake wawachukie wazungu bila sababu
Sababu anayotoa ni "mabeberu",hatoi specifics wametubeberu nini,na jukumu la kuzuia kubeberuiwa tumempa yeye azuie,cha ajabu hazuii analia,sasa kama yeye analia sisi wananchi tukalilie wapi?
Hii tabia ya hovyo sana mwanasiasa kulalamikia external nations pale anaposhindwa kazi nchini mwake ni ya hovyo sana
Ila mambo yakienda vizuri ndani ya nchi utasikia ni "juhudi za rais wetu mpendwa"
Akishindwa kazi,mambo yakiwa yanaenda hovyo ndani ya nchi anageuza blame kupelekea nchi kubwa za mbali,....mwanzo walikua wanageuza blame kwa vyama vya upinzani,sasa ni mabeberu....hii ni stupid blame game
Kiongozi mbovu hua anatafuta pakupeleka blames zake,yeye hua hana kosa,kosa ni wanadamu wengine na wala sio yeye,yeye ni bora sana hafanyi kosa kabisa,yeye ni mungu....
Madikteta hovyo mno aisee