TAFAKARI: Kwanini Rais anaogopa kutubu?

TAFAKARI: Kwanini Rais anaogopa kutubu?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,152
Reaction score
44,110
Wito umekwishatolewa na viongozi wakubwa wa kidini kumtaka Rais aende akatubu, na mara tu kauli hiyo ilipotolewa wapambe wa Rais walilipuka kwa hasira na hamaki kuipinga kauli hiyo ili kumlinda Rais asitubu. Mpaka sasa Rais hajajitokeza hadharani na kutubu.

Pasipo kuweka uchabiki katika hili, embu tujiulize haya maswali.
1/Kwanini Rais anaogopa kutubu?
2/Kuna kosa kumwambia Rais atubu?
3/Kuna hasara gani kama Rais ataamua kutubu?
4/Nini faida ya Toba kwa nchi ikiwa Rais atatubu kwa makosa yake au makosa ya watendaji wake?
 
Faida ya kutubu ni kubwa kuliko ujeuri,maovu mengi yametendeka chini ya uongozi wake,maisha ni magumu na mbele ni giza nene.Alafu nashangaa hvi unaendeshaje nchi kubwa kama hii kwa kucopy na kupaste kwa kagame anayeongoza mkoa????Kiongoz huna priority, ni maajabu sana
 
Hata iweje lazma atubu dhambi zke yeye ni mkatoliki anajua toba ni nini,kwahiyo atatubu tu kwa haya matendo yke maovu lazma atubu
 
Dhambi zake ni nyingi mno na nzito ikiwemo kupotea kwa Ben Saanane na shambulizi la kutaka kuchukua uhai wa Lissu the Great. Ni lazima ahofie kutubu Mkuu.

Wito umekwishatolewa na viongozi wakubwa wa kidini kumtaka Rais aende akatubu, na mara tu kauli hiyo ilipotolewa wapambe wa Rais walilipuka kwa hasira na hamaki kuipinga kauli hiyo ili kumlinda Rais asitubu. Mpaka sasa Rais hajajitokeza hadharani na kutubu.

Pasipo kuweka uchabiki katika hili, embu tujiulize haya maswali.
1/Kwanini Rais anaogopa kutubu?
2/Kuna kosa kumwambia Rais atubu?
3/Kuna hasara gani kama Rais ataamua kutubu?
4/Nini faida ya Toba kwa nchi ikiwa Rais atatubu kwa makosa yake au makosa ya watendaji wake?
 
Kwa sababu hataacha. Kwa maana ya kwamba atarudia tena kwa kuwa hayo ndiyo miguu ya kiti chake.

Sababu ya pili wanaomwabudu kama mungu wao watapunguziwa imani kwa kuona kumbe kuna Mungu Mkuu kuliko huyo wao.

Kiburi cha pharao.
 
Hakuna ajuaje kama anakataa kutubu au keshatubu kwa Mungu wake kimyakimya (sio lazima akapige goti kwa Kakobe). So far yupo kimya na hizo kelele zinatoka kwa wachumia tumbo jamii ya Gambooo na Rwega-hasira
 
Wito umekwishatolewa na viongozi wakubwa wa kidini kumtaka Rais aende akatubu, na mara tu kauli hiyo ilipotolewa wapambe wa Rais walilipuka kwa hasira na hamaki kuipinga kauli hiyo ili kumlinda Rais asitubu. Mpaka sasa Rais hajajitokeza hadharani na kutubu.

Pasipo kuweka uchabiki katika hili, embu tujiulize haya maswali.
1/Kwanini Rais anaogopa kutubu?
2/Kuna kosa kumwambia Rais atubu?
3/Kuna hasara gani kama Rais ataamua kutubu?
4/Nini faida ya Toba kwa nchi ikiwa Rais atatubu kwa makosa yake au makosa ya watendaji wake?
Akatubu Kwa kosa lipi alilofanya linalohitaji toba?

Akatubie wapi? Kwa Kakobe, Gwajima, mzee upako, Kwa Pengo au wapi?

Je unataka aje atuambie kila anapokutana na Mungu wake Kwa ajili ya maombi yake na toba?

Nadhani Toba ni jambo binafsi sana la kiroho kati ya mtu na Mungu wake na si kati ya mtu na MIUNGU ya watu wengine
 
Faida ya kutubu ni kubwa kuliko ujeuri,maovu mengi yametendeka chini ya uongozi wake,maisha ni magumu na mbele ni giza nene.Alafu nashangaa hvi unaendeshaje nchi kubwa kama hii kwa kucopy na kupaste kwa kagame anayeongoza mkoa????Kiongoz huna priority, ni maajabu sana
Duuh! Mkuu kila neno uliloandika hapa ni madini tupu. H. Polepole akisoma hapa uzee wake utazidi kuongezeka.
 
Back
Top Bottom