Toba yake itapokelewa kwa kwenda kumwomba msamaha Lisu na wazazi wa Saanane. Pia aweke ahadi ya kutomfanyia mtu mwingine yeyeote. Damu ya mtu huhitaji toba maalum. La sivyo huleta laana. La sivyo itakuwa ni kupoteza muda.Hakuna ajuaje kama anakataa kutubu au keshatubu kwa Mungu wake kimyakimya (sio lazima akapige goti kwa Kakobe). So far yupo kimya na hizo kelele zinatoka kwa wachumia tumbo jamii ya Gambooo na Rwega-hasira
Mkatoliki anajuaAkatubu Kwa kosa lipi alilofanya linalohitaji toba?
Akatubie wapi? Kwa Kakobe, Gwajima, mzee upako, Kwa Pengo au wapi?
Je unataka aje atuambie kila anapokutana na Mungu wake Kwa ajili ya maombi yake na toba?
Nadhani Toba ni jambo binafsi sana la kiroho kati ya mtu na Mungu wake na si kati ya mtu na MIUNGU ya watu wengine
Yeye ni mkatoliki, anajua namna ya kutubu. Kabla ya kusogelea kiti cha kitubio kwanza anahitajika kuwaomba msamaha wale aliowakosea, kisha ndipo asogelee kiti cha kitubio.Akatubu Kwa kosa lipi alilofanya linalohitaji toba?
Akatubie wapi? Kwa Kakobe, Gwajima, mzee upako, Kwa Pengo au wapi?
Je unataka aje atuambie kila anapokutana na Mungu wake Kwa ajili ya maombi yake na toba?
Nadhani Toba ni jambo binafsi sana la kiroho kati ya mtu na Mungu wake na si kati ya mtu na MIUNGU ya watu wengine
Majanga ya mkulu hayafanani na mleta mada..ukae ukijua hilo sio kilakitu cha kutubu..ila kuna point ukifikia inabidi utubuWewe ulishatubu?usimuonyeshee mwenzio kidole wakati hakuna mwanadamu aliyemkamilifu
Wewe umetubu?Hata iweje lazma atubu dhambi zke yeye ni mkatoliki anajua toba ni nini,kwahiyo atatubu tu kwa haya matendo yke maovu lazma atubu
Mauaji mengi ya yametokea kipindi cha utawala wakeAtubu kwa kosa gani???wanaotaka atubu waseme atubu nn ...mda mwingne watz tuachage ujinga inakua ka mtu hajui anataka nini...
Wewe ulitaka atubu vipi? Rais wako ni mkatoliki na kitubio ni moja ya sacrament zao wakatoliki. Hivyo kutubu kwa wakatoliki ni siri kati ya padre kama mjumbe wa Mungu wake na yeye hivyo hizo kiki zenu za kusubiri mtu aanzishe na ninyi mje mtujazie server ni ujinga. Kuna mambo ya muhimu wananchi wanayahitaji kama walivyoahidi walipopita kujinadi kama milioni 50 kila kijiji. Huu ujumbe wa Kakobe tumeusikia hakuna haja kila mtu kuundia thread.Wito umekwishatolewa na viongozi wakubwa wa kidini kumtaka Rais aende akatubu, na mara tu kauli hiyo ilipotolewa wapambe wa Rais walilipuka kwa hasira na hamaki kuipinga kauli hiyo ili kumlinda Rais asitubu. Mpaka sasa Rais hajajitokeza hadharani na kutubu.
Pasipo kuweka uchabiki katika hili, embu tujiulize haya maswali.
1/Kwanini Rais anaogopa kutubu?
2/Kuna kosa kumwambia Rais atubu?
3/Kuna hasara gani kama Rais ataamua kutubu?
4/Nini faida ya Toba kwa nchi ikiwa Rais atatubu kwa makosa yake au makosa ya watendaji wake?