kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,207
- 7,364
Akitubu maana yake ajutie dhambi alizotenda na awe amedhamiria kuziacha.
Huyu huyu...????!!!!!!
Huyu huyu...????!!!!!!
Wito umekwishatolewa na viongozi wakubwa wa kidini kumtaka Rais aende akatubu, na mara tu kauli hiyo ilipotolewa wapambe wa Rais walilipuka kwa hasira na hamaki kuipinga kauli hiyo ili kumlinda Rais asitubu. Mpaka sasa Rais hajajitokeza hadharani na kutubu.
Pasipo kuweka uchabiki katika hili, embu tujiulize haya maswali.
1/Kwanini Rais anaogopa kutubu?
2/Kuna kosa kumwambia Rais atubu?
3/Kuna hasara gani kama Rais ataamua kutubu?
4/Nini faida ya Toba kwa nchi ikiwa Rais atatubu kwa makosa yake au makosa ya watendaji wake?