Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,856
- 99,887
Hii ni defensive mechanism ya hovyo sana.Kwa nini umsemee mtu ambaye anaweza kutoa maamuzi yake?Wewe ulishatubu?usimuonyeshee mwenzio kidole wakati hakuna mwanadamu aliyemkamilifu
Hii ni defensive mechanism ya hovyo sana.Kwa nini umsemee mtu ambaye anaweza kutoa maamuzi yake?Wewe ulishatubu?usimuonyeshee mwenzio kidole wakati hakuna mwanadamu aliyemkamilifu
Kwa Wakatoliki tu, Hivi siku hizi kuungama ni utaratibu ulio waziWito umekwishatolewa na viongozi wakubwa wa kidini kumtaka Rais aende akatubu, na mara tu kauli hiyo ilipotolewa wapambe wa Rais walilipuka kwa hasira na hamaki kuipinga kauli hiyo ili kumlinda Rais asitubu. Mpaka sasa Rais hajajitokeza hadharani na kutubu.
Pasipo kuweka uchabiki katika hili, embu tujiulize haya maswali.
1/Kwanini Rais anaogopa kutubu?
2/Kuna kosa kumwambia Rais atubu?
3/Kuna hasara gani kama Rais ataamua kutubu?
4/Nini faida ya Toba kwa nchi ikiwa Rais atatubu kwa makosa yake au makosa ya watendaji wake?
Mtu akishafika point of no return, there is no turning back....no salvation!Kwa sababu hataacha. Kwa maana ya kwamba atarudia tena kwa kuwa hayo ndiyo miguu ya kiti chake.
Sababu ya pili wanaomwabudu kama mungu wao watapunguziwa imani kwa kuona kumbe kuna Mungu Mkuu kuliko huyo wao.
Kiburi cha pharao.
Yawezekana ametubu huko sirini na Mungu wake.Wito umekwishatolewa na viongozi wakubwa wa kidini kumtaka Rais aende akatubu, na mara tu kauli hiyo ilipotolewa wapambe wa Rais walilipuka kwa hasira na hamaki kuipinga kauli hiyo ili kumlinda Rais asitubu. Mpaka sasa Rais hajajitokeza hadharani na kutubu.
Pasipo kuweka uchabiki katika hili, embu tujiulize haya maswali.
1/Kwanini Rais anaogopa kutubu?
2/Kuna kosa kumwambia Rais atubu?
3/Kuna hasara gani kama Rais ataamua kutubu?
4/Nini faida ya Toba kwa nchi ikiwa Rais atatubu kwa makosa yake au makosa ya watendaji wake?
Swala la kakobe wali mishandle serekali hakukuwa na haja ya kuli amplify kwa kumjibu.Wewe ulitaka atubu vipi? Rais wako ni mkatoliki na kitubio ni moja ya sacrament zao wakatoliki. Hivyo kutubu kwa wakatoliki ni siri kati ya padre kama mjumbe wa Mungu wake na yeye hivyo hizo kiki zenu za kusubiri mtu aanzishe na ninyi mje mtujazie server ni ujinga. Kuna mambo ya muhimu wananchi wanayahitaji kama walivyoahidi walipopita kujinadi kama milioni 50 kila kijiji. Huu ujumbe wa Kakobe tumeusikia hakuna haja kila mtu kuundia thread.
Mnapenda kujificha nyuma ya vijimisemo!Wewe ulishatubu?usimuonyeshee mwenzio kidole wakati hakuna mwanadamu aliyemkamilifu
Kiashiria cha kutubu ni kuuacha uovu husika.Hivi nyie watu mnajuaje kama Magufuli huwa hatubu? Au mnataka akutubu kwa Kakobe mbele ya waumini wake? Fanyeni kazi acheni upumbavu.
Atubu kwa kosa gani???wanaotaka atubu waseme atubu nn ...mda mwingne watz tuachage ujinga inakua ka mtu hajui anataka nini...
Tungeona unyenyekevu, matunda ya toba yange onekana yaani mikutano ya siasa ruksa kujitokeza hafharani na kusema jamani mie nami ni mwanadam kwa hili na hili nisameheni na kwa haya nisameheni kwa sababu yametendwa na washirika zangu.. niombeeni ..... Ndiyo Toba na kubadilika mawazo kuelekea na kujielekeza ktk kutenda haki na kumtii Mungumnajuaje hajatubu....
Hakuna niliposema serikali imelihandle vizuri labda kama sijui kusoma nini nilichokiandika. Mambo niliyasema ni kumjibu huyo niliyemjibu kwa kumfahamisha kuwa Magufuli ni muumini wa dhehebu la kikatoliki na kwao kitubio ni moja ya sacrament na kitubio ni siri yake na mungu wake na kwa imani yake padre ni mjumbe ama mwakilishi ktk hilo tendo.Swala la kakobe wali mishandle serekali hakukuwa na haja ya kuli amplify kwa kumjibu.
Kosa linalojulikana waziwazi lazima kulitubu waziwazi na si kimyakimya!Hakuna ajuaje kama anakataa kutubu au keshatubu kwa Mungu wake kimyakimya (sio lazima akapige goti kwa Kakobe). So far yupo kimya na hizo kelele zinatoka kwa wachumia tumbo jamii ya Gambooo na Rwega-hasira