TAFAKARI: Hivi kweli Mzee Makamba alifika mbele ya kamati ya nidhamu ya CCM na kuhojiwa?

Kwanza Mzee Makamba akushuka wala kuingia ndani,šŸ¤£La pili nnavyojua ccm wangejaza waandishi wa habari kama wote! Ukweli CCM inabidi ijitafakari na ichukue hatua staiki kukiokoa chama. Isije ikakutana na yalioipata KANU! Tanzania ya 2020 sio ile ya 1990!!
 
Back
Top Bottom