AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Kwakweli makala hii imenipa uchungu sana.
Mbona Kafulila hakuyumba na kukosa msimamo kwenye suala la ESROW? Au hatoki Kigoma yeye!Nimekuwa siwaaamini sana wanasiasa wanaotokea KIGOMA!!! ni watu wenye kuyumba na kukosa msimamo!!!
Mimi naamini ZZK ingawa amechelewa atafanya yale aliyoyafanya Kafulila ili arudi kwenye chama. Asipofanya hivyo ataishia kuwa kama yule wa CUF ambae credibility yake kisiasa imebakia kuwa mtumwa wa CCM.
Je imekaa sawa hii? Au ndio kuminya demokrasia?
Zitto alikuwa kiongozi wa CHADEMA kwa miaka mingi. Hakujua hili? Au kwa kuwa limetumika kwake?Je imekaa sawa hii? Au ndio kuminya demokrasia?
Katiba ya Chadema Ibara ya 8.0.
HATUA ZA KINIDHAMU KWA WABUNGE, MADIWANI,WENYEVITI WA VIJIJI/MITAA NA VITONGOJI
x. CHADEMA itashughulikia matatizo ya viongozi nawanachama kwa kufuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa Katiba ya Chama, wala hata siku moja haitashughulikia mambo kama hayo Mahakamani. Mwanachama atakayeshindwa kufuata taratibu na ngazi za Chama hatavumiliwa na atafukuzwa uanachama.
Zitto alidhani ni mkuu kuliko chama! Anang'oka na ndio kwanza CDM inapeta!
![]()
Zitto alishaacha kufanya kazi ya kujenga CHADEMA siku nyingi sana. Zitto alikuwa anafanya kazi za kujijenga mwenyewe na kukigawa chama.Nchi au tahasisi haziendeshwi kwa Katiba peke yake bali HEKMA inaitajika. Siku Chadema watakapo gundua damage ya Zitto itakuwa too late.
Wewe kila post yako unapost udini na ukanda, huna point nyingine?Sasa HAWA WAVUTA BANGI NA WALA VIROBA NDIYO WAPIGA KURA??
BADALA YA KUWAHAMASISHA KUJIANDIKISHA NYI MNAKADHANI KUKUSANYA HAO WALEVI?
HAKUNA HOJA KWENYE BANDIKO LA UZI HUU
KIKUBWA KILICHOPO CHADEMA NI UKANDA UDINI NA UKABILA
Ili kupatana inabidi uwepo unyenyekevu. Je Zitto anao huo unyenyekevu?Walihitilafiana na uhasama juu CUF na CHADEMA lakini yamepita na watu wapo pamoja na mambo yanakwenda, kukosea na kusameeana ndivyo tulivyoumbwa, tunamkosea mungu muumba tunamuomba msamaha na anatusamehe, ijekua zitto na chadema?
Rudini mezani muyamalize
Je imekaa sawa hii? Au ndio kuminya demokrasia?
Hivi CHADEMA si ni taasis mnasema,sasa kwa nini huu mvutano mnalazimisha uonekane very personal yaani Mbowe versus Zitto?
Anyway fuatilia historia ya Museven na Dr. Besije ndo urudi tena au umesahau Julius Malema amewahi kunukuliwa akiropoka yuko tayari kuua kwa ajili ya Zuma way back akiwa Patrobas wa ANCYL,akawa Makonda kwa kuwatukana kina Hellen Zille na akina Mbeki.
Yaliyotokea si kila mmoja anayajua.
politicians are creatures of their own specie.