Socratesson
Senior Member
- Oct 5, 2012
- 119
- 23
Tatizo ni kiburiiii tu cha kawaida au academic Arrogance!!!Dogo ulijiona mkubwa kuliko chama au kuna mahali mlikoseana?Nenda Zitto nenda,Angalikuwapo Mama yako Shida Salumu angekuombea msamaha wangemuonea aibu na kukurudisha kundini.Asingekubali na hajawahi kukubali kukuona unaiacha Chadema yako.
Mama hayupo tena,hakuna wa kukutetea na kukuombea msamaha...hata Mama nakumbuka tukiwa Tabata Magorofani aliwahi kukuonya kuwa achana na miruzi mingi kumbuka waliokulea na walikokutoa...nakumbuka Bi Shida alitoa machozi tukiwa pale Tabata.Alikuasa kuachana na wanaokupotosha,alisema aliongea kwa kirefu na wazee wa Chama akiwemo Mzee Kimesela na Mzee Mtei,akakwambia na yeye kagundua kuwa umekosea na ujirekebishe,Kwa ushahidi wa namna ulivyouzwa majimbo ya Musoma Vijijini nk,Mama alikuomba sanaaa usirudie wala usishindane na waliokulea,alisema tuache tamaa,tusirubuniwe na vijipesa tukawasahau wenzetu na kuwauza,akasema familia ina heshima ya kuwa waasisi wa Chadema,tusiipoteze historia hiyo.Nakumbuka akasema miaka 20 ijayo mwanetu Chachage Zitto Zubeir Kabwe aje ajivunie uasisi wa bibi na baba ndani ya Chadema
Nasikitika umepuuza ushauri wa mama,Japo ulisema utamuenzi lkn kwa hili hujamuenzi..umemuangusha Mama umemuangusha,angakuwa hai asingekubali uondolewe ktk chama alichojua unakipenda toka ukiwa mtoto,anakumbuka jinsi wakati mwingine alivyokugombeza usome kwanza badala ya kupendelea siasa...Leo mama asingekubali hata kidogooooo ...
Jitafakari Zitto,najua baba yako si sehemu ya washauri wako kisiasa lkn rudi nyuma tazama ulipokosea..Wewe siyo wa kufa kibudu hivyo kisiasa Ndani ya Chadema,Weeee Zitto Zubeir Kabwe!!!????Yaani wakati 2005 Salumu Mwalimu akiwa bado haijui Chadema Wewe ulikuwa ndani ya harakati,2003 wakati Ole Sosopi akiwa shule ya msingi akichunga ndama...wewe ulikuwa kwenye hostel za Chuo kikuu usiku wa manane tena kwa Siri na Mbowe mkipanga mikakati ya kupata wanachama toka Chuo kikuu.
Nakumbuka siku zile za mwisho wa week chuoni...Freeman Mbowe akija Hall kwa gari binafsi usiku wa weekend,akitubeba kwa gari mpaka club billicanas,wakati huo tukimuita brother,kwenda kupoteza mawazo na kurefresh then kuturudisha au wakati mwingine kulala huko huko,tukila chips ndani ya sahani moja,tukipita katikati ya jiji usiku tukishangaa jinsi habari za mitaa ya Ohio tulizosoma magazetini sasa twaziona kwa macho.Ni wapi wewe na brother Freeman mlipotofautiana??Yule Freeman aliyekwambia hata kwa kuiuza Bilicanas wewe lazima ukagombee jimbo la Kgm Kaskazini,Freeman aliyekuwa anakutegemea kwa mambo Mengi leo mmegeukana???kweli siasa mchezo mchafu...yaani urafiki na undugu wenu unavunjika sababu ya tofauti za siasa????
U sometimes used to feel our pocket money kipindi cha miezi dume..ilifikia mpaka Siri za ndani baina yenu mkawekeana bayana!!Ni siasa tu au kuna mengine??Kama ni siasa tu,basi kweli siasa "mchezo mchafu",hufitinisha ndugu na jamaa.Hivi ule ushauri wa Bro Freeman kwenda Hull City kuongeza elimu hukuwa sehemu ya mshauri bwana ZZK pale Hotelin Dar??
Camonnnnn!!Guys come on the round table,yamalizeni haya...kuna maisha nje ya siasa,kuna maisha baada ya siasa..mnatupa wakati mgumu sisi marafiki zenu ambao hatuwezi kutenganishwa nanyi kwa ugomvi wa kisiasa.
Kuna Kiongozi mmoja hapa nchini aliwahi sema kuwa tusiwe wachekeshaji wa mfalme.Mada hii ina sura hiyo,huku wapambe wengine wenye hulka zilizofanana wakikusifu uchekeshe zaidi.Umekopy hisia za msiba za marehemu Komba umeleta kwenye chama chako(Nenda zitto,nenda) This is more arrogant beyond academics scope.Umeamua kumlisha Mama wa Zitto mungu amrehemu uko aliko maneno yako ili tu yawe yake ili kumfurahisha mfalme.Nimefurahishwa na aliyeweka refference ya maneno halisi na pengine ya mwisho aliyoyasema Shida.Pengine siku mfalme mtukuzwa ikiwa siku akianguka sijui utakuja na hisia zipi.It's not that much far and time will justfy all.Thank you so much