Tafadhali soma hapa.....

Tafadhali soma hapa.....

Ameen,Asante sana kwa maombi yako,hakika Mungu yupo na anatenda,nakukumbuka sana ulikuwa wa kwanza kunijulia hali after surgery,Barikiwa mkuu.
Amina barikiwa nawe pia, jeshi la Bwana ni kubwa mno,Eliya alifikiri yuko peke yake Mungu akamwambia wapo wengeni 50 kwenye pago".........lieni nao waliao....furahini nao wafurahio."

^^
Pole sana everlenk Uzidishiwe utulivu, amani na Mungu mwenye asili ya tiba zote akurejeshee afya thabiti
^^
 
Last edited by a moderator:
Kwa jina la baba ,la mwana na roho mtakatifu utapona na utatoka salama
Ameen...
 
Amina barikiwa nawe pia, jeshi la Bwana ni kubwa mno,Eliya alifikiri yuko peke yake Mungu akamwambia wapo wengeni 50 kwenye pago".........lieni nao waliao....furahini nao wafurahio."

Ameen,hakika sikuwa peke yangu kama nilivyodhani,maana siku hiyo ilinitokea ghafla kujiskia vibaya sana nikaenda hospital nikapimwa ndio tatizo likajulikana na haraka Dr. akashauri nifanyiwe operation,hata my hubby hakuwepo alikuwa safarini,kwa wakati huo ninyi MMU ndio mlikuwa ndugu zangu wa karibu. Hakika maombi yenu yalifanya kazi kubwa.
 
Wana JF mkiamua kuwa serious mnatoa points za maana haswa,kweli hii ni nyumba ya wenye upeo mkubwa wa kufikiri.BIG UP KWENU
 
Hahahahaha! Babu Asprin asante sana umo mwiongoni mwa MMU wote,Hao ni miongoni waliocomment siku hiyo,tena niombee nipone haraka haswaaa mjukuu wako asijechepuka bure!!!

Damu ya Yesu na ikutakase upone haraka kuliko matarajio ya madaktari. Sema amina, upate uponyaji.

Nguvu za shetani na zishindwe. Kojoleo na mjukuu lipate aleji na K za mchepuko mpaka njia kuu itakapokuwa imekarabatika. sema amina shetani afe, na kojoleo liwe na nidhamu.
 
Last edited by a moderator:
Habari za asubuhi wana MMU,
Muda mfupi ujao nitakuwa nikiingia chumba cha upasuaji,nasumbuliwa na uvimbe kwenye utumbo mpana.

Tafadhali naombeni maombi yenu wana MMU wote mwenyezi Mungu awe nami,maneno yenu ni faraja na uponyaji tosha kwangu.
Mungu awabariki.

Ondoa hofu moyoni mwako maana Mungu yu pamoja na wewe, AMEN.
 
pole sana mamii mwenyezi mungu mwingi wa rehema atakuponya haraka
 
Aika sana Shemeji!!

Mentor ni shemeji yako kwa nani? kama kwa mdogo wako basi kala hasara. mwambie azame kwenye maombi kabla hajaanza kulea watoto wa wanawake wenzie.
 
Last edited by a moderator:
Damu ya Yesu na ikutakase upone haraka kuliko matarajio ya madaktari. Sema amina, upate uponyaji.

Nguvu za shetani na zishindwe. Kojoleo na mjukuu lipate aleji na K za mchepuko mpaka njia kuu itakapokuwa imekarabatika. sema amina shetani afe, na kojoleo liwe na nidhamu.

hahahahahaha!! Babu Asprin umeniacha hoi! Kidonda kitafumuka bure! !!!

Ameen! Ameen! AMINAAAAA!!!!!
Dah! Bahati mbaya hiki kimeo hakina kitufe cha like ningekupa like mia.
 
Last edited by a moderator:
Wana JF mkiamua kuwa serious mnatoa points za maana haswa,kweli hii ni nyumba ya wenye upeo mkubwa wa kufikiri.BIG UP KWENU
Always ni great thinkers......,bahati mbaya kimeo hiki hakina kitufe cha like.
 
Mentor ni shemeji yako kwa nani? kama kwa mdogo wako basi kala hasara. mwambie azame kwenye maombi kabla hajaanza kulea watoto wa wanawake wenzie.

Naomba nimtetee hapa,shemeji yangu Mentor kaokoka kabisaaa,sasahivi anapiga injili kwa sana tu,hayumo tena kwenye #team bazazi,usishangae siku moja yupo jukwaani pale jangwani akimtangaza Yesu. Babu Asprin kijana wako sasahivi ni mpya kabisa ni Mentor wa Yesu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom