NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 1,001
Mwenyezi Mungu atakupa nafuu ameshasikia kilio chako..Amen
Ameen,asante kaka
Habari za asubuhi wana MMU,
Muda mfupi ujao nitakuwa nikiingia chumba cha upasuaji,nasumbuliwa na uvimbe kwenye utumbo mpana.
Tafadhali naombeni maombi yenu wana MMU wote mwenyezi Mungu awe nami,maneno yenu ni faraja na uponyaji tosha kwangu.
Mungu awabariki.
Asanteni sana kwa dua na sala zenu na sasa ndo naingia chumba cha upasuaji,nimefarijika sana na kujiona niko kama na watu maelfu ,kwa kweli mmenipa moyo sana maana nilikuwa very stressed. Mungu awabariki sana na muendelee kuniombea.