Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Huu uzi umeshafikishwa malangoni pa Mbingu, amini unakwenda kupona kabisa!
Huu uzi umeshafikishwa malangoni pa Mbingu, amini unakwenda kupona kabisa!
nakuombea upone haraka,mungu aongoze operation yakohabari za asubuhi wana mmu,
muda mfupi ujao nitakuwa nikiingia chumba cha upasuaji,nasumbuliwa na uvimbe kwenye utumbo mpana.
Tafadhali naombeni maombi yenu wana mmu wote mwenyezi mungu awe nami,maneno yenu ni faraja na uponyaji tosha kwangu.
Mungu awabariki.
Nawashukuru sana kwa Maombi yenu,operation ilienda vizur kabisa na nimeruhusiwa kutoka hospital sasa niko nyumbani nikijiuguza kidonda, Namshukuru Mungu kwa uzima alionipatia hakika ni mwema na kama mlivyoomba hakika alinipatia wepesi sana na ninaendelea vizuri sana.
MUNGU AWABARIKI SANA hakika mlinitia moyo sina lugha nzuri ya kuongea ila Mwenyezi Mungu awakumbuke katika kila mnalolihitaji.
Nokia83 utafiti Kongosho mdesi Blue G Magembeh miss chagga mwekundu Dannycage Leomimi Evelyn Salt Eiyer mpuko badiebey The Boss shahnaz Ennie NAMTUMBA Mbimbinho Straight corner magombe junior kijani11 Khantwe(samahan kwa kukuita kaka) Daddo google helper xiexie mtzmweusi LexAid Kichwa Ndio Mtu ng'wana ong'wa kulwa NI MTAZAMO TU neggirl Sizinga enhance miss neddy Ablessed Zamiluni Zamiluni thinky ndiga usiniguse gfsonwin na hips.com(mistari mliyonipatia ilinipa nguvu sana)
Habari za asubuhi wana MMU,
Muda mfupi ujao nitakuwa nikiingia chumba cha upasuaji,nasumbuliwa na uvimbe kwenye utumbo mpana.
Tafadhali naombeni maombi yenu wana MMU wote mwenyezi Mungu awe nami,maneno yenu ni faraja na uponyaji tosha kwangu.
Mungu awabariki.