Tafadhali soma hapa.....

Hakika upendo wa Mungu kwetu haupimiki

Mungu akubariki sana na upone kabisa mpendwa

I know Jesus is there with you dear

Stay blessed!
 
Always God is great. Mungu ashukuriwe na upone haraka.
 
Hakika upendo wa Mungu kwetu haupimiki

Mungu akubariki sana na upone kabisa mpendwa

I know Jesus is there with you dear

Stay blessed!

Thank you baba Paroko.
 
Sasa mbona hujanishuru na mimi? Hutaki hicho kidonda kipone haraka?
 
Last edited by a moderator:
Mungu wa mbinguni akuinue, azikumbuke sadaka zako zote na kuzitakabali akuletee msaada kutoka patakatifu pake, akujibu siku ya tabu akupe haja ya moyo wako na kuyatimiza mahitaji yako yote,.

Ameen,asante kwa neno zuri.
 
Haleluya hata sasa Bwana anatenda ngoja nijipe dakika kadhaa nimshukuru Mungu kwa matendo makuu aliyokutendea...
.
"...... shukuruni Mungu kwa kila jambo ....."
 
Sasa mbona hujanishuru na mimi? Hutaki hicho kidonda kipone haraka?
Hahahahaha! Babu Asprin asante sana umo mwiongoni mwa MMU wote,Hao ni miongoni waliocomment siku hiyo,tena niombee nipone haraka haswaaa mjukuu wako asijechepuka bure!!!
 
Last edited by a moderator:
Mungu akujalie na kukubariki, na pia abariki na mikono ya madaktari na manesi watakaofanya hiyo operation! Ubarikiwe sana everlenk !
 
Last edited by a moderator:
Mungu akujalie na kukubariki, na pia abariki na mikono ya madaktari na manesi watakaofanya hiyo operation! Ubarikiwe sana everlenk !

Ameen,Asante md4doctor2000,operation ilishafanyika na ninamshukuru Mungu naendelea vzur hapa nilileta mrejesho tu.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sikusoma hapa hadi leo..ila nitakuombea kidonda kipone haraka.
 
Haleluya hata sasa Bwana anatenda ngoja nijipe dakika kadhaa nimshukuru Mungu kwa matendo makuu aliyokutendea...
.
"...... shukuruni Mungu kwa kila jambo ....."

Ameen,Asante sana kwa maombi yako,hakika Mungu yupo na anatenda,nakukumbuka sana ulikuwa wa kwanza kunijulia hali after surgery,Barikiwa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…