Tafadhali soma hapa.....

Tafadhali soma hapa.....

Nakutakia ulinzi wa Yesu huko uingiapo!
 
Mungu awe nawe. Nakutakia upasuaji wenye mafanikio na utoke ukiwa na afya njema.
 
Mungu akujalie,akupunguzie maumivu,akuponye na akupe amani na afya njema zaidi...
Ugua pole
 
M'Mungu atakufanyia wepesi na kila kitu kitakuwa sawa
 
Mwenyezi Mungu na akaongoze shughuli yote ya upasuaji maana yeye ndiye dactari bingwa wa wote. Pole sana dada na Mungu akupiganie.
 
Eee Mwenyezi Mungu uibariki mikono ya madaktari wote, vifaa vyote, chumba cha upasuaji na mgonjwa huyu ili atoke salama, apone na kurudi kulitukuza jina lako!
 
Nakutakia upasuaji mwema na Mwenyezi Mungu akupe wepesi wa kupona haraka.
 
Back
Top Bottom