Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,956
Chonde chonde jamani! Bei ya unga wa sembe itakuja kufika sh2000+ hapa tuje tutafute mchawi ni nani?
Biashara ya kuexport bidhaa nje inataka tujipange katika uzalishaji na kudhibiti kiwango cha matumizi ya ndani itosheleze bila ya kumuathiri mlaji kutokana na mripuko wa bei. Tanzania bado hatijajipanga uzalishaji wa ku export na tukilazimisha kutakuwa na mripuko wa bei na tushindwe kumiliki hata mlo mmoja kwa siku
Hata kidogo ndugu kwani hujasikia, "necessity is the mother of invention" ---- mahitaji yanapopanda ndipo watu watalima sana kukidhi soko, soko na mahitaji vinaenda sambamba, usiwe na khofu ya kupanda kwa bei ya mahindi.