Tafadhali Magufuli achana na Lowassa kabisa

shut....your mouth wewe unamfahamu sana lowassa kuliko wajumbe wote WA NEC kwa UNDANI????/

ACHA KUFUATA MKUMBO......

ACHA CHUKI BINAFSI....

nimeandika hoja tano umeshindwa kutoa hoja ata moja kuonesha ninafata mkumbo. sijafata hoja yoyote maarufu na haya ni maoni binafsi vipi nimefata mkumbo
 
Kwanza wengi wameisha kili utendaji wako mzuri na kunashaka ndogo zaidi juu ya uadilifu wako kuliko wagombea wote wa CCM.
naomba uachane na Usikubali kukaa meza moja na Lowasa kwasababu zifuatazo.

Moja Lowassa anataka ahakikishiwe kulindwa kwa maslahi yake yeye na marafiki zake kama wewe ukiwa raisi hata kama yanaumiza maslahi ya nchi. Ndio maana anatumia watu umuite eti mtafute maridhiano.
Pili lowasa sio msafi machoni pa wakosoaji kuambatana nae ni kubaliki uchafu na ufisadi tuhuma ambazo zinamkabili mda mrefu na ameshindwa kuthibitisha kuwa hahusiki nazo.
Atakuunganisha na marafiki wake wasioaminika

anahasira za kukatwa hivyo hakuna uhakika kama hana kisasi moyoni.

Magufuli jipe moyo Wafuasi wa Lowasa waliobaki wapo monduli tu. Wengine wamelala mbele na naamini utashinda bila msaada wa mafisadi.

na lazma Lowasa ajue unaweza kuwa raisi bila yeye kukusapoti na unaweza.

Kumbuka JK aliingia kwa msaada wa Lowasa na watuhumiwa wa ufisadi na akashindwa kufanya mazuri kwenye nchi.

Najua magazeti ya Lostam yatamsifu na kukuponda na ya Mengi pia sijui alihaidiwa vitaru vya gesi? Kuwa na imani utashinda tu.

Nakubaliana na wewe, weka mbali kabisa Lowassa. Lowassa atulie. Na vyombo vyote vinavyo chochea machafuko vifungiwe
 
Kwa sasa Lowassa anamhitaji Magufuli kuliko Magufuli kumhitaji lowassa,pia wapambe wengi wa lowassa wamepata pigo kuliko hata lowassa mwenyewe,kwani matarijio na matumaini yameishia Dodoma badala ya IKULU YA MAGOGONI.
tuombee amani Taifa letu
 
mnaanzakuweweseka mapema ngoja mwezi wa kumi mtajua nguvu ya mmasai

Tanzania kwanza Chama baadae. Bora Magufuli asiwe raisi kuliko kufungamishwa na groap la mafisadi. Rowasa ni fisadi kwasababu kuu moja tu. Anatuhuma za ufisadi na zimemfanya afukuzwe uwaziri mkuu na ameshindwa kusibitisha kuwa hahusiki
 
kama utakumbuka katika ripoti ya Richmond kuna mmoja aliwekewa bracket (............) kwa mustakali WA taifa,WADHANI ALIKUWA NI NANI??
 
Ushindi wa Magufuli upo mikononi mwa Lowassa.
 
Kwanza wengi wameisha kili utendaji wako mzuri na kunashaka ndogo zaidi juu ya uadilifu wako kuliko wagombea wote wa CCM.
naomba uachane na Usikubali kukaa meza moja na Lowasa kwasababu zifuatazo.

Moja Lowassa anataka ahakikishiwe kulindwa kwa maslahi yake yeye na marafiki zake kama wewe ukiwa raisi hata kama yanaumiza maslahi ya nchi. Ndio maana anatumia watu umuite eti mtafute maridhiano.
Pili lowasa sio msafi machoni pa wakosoaji kuambatana nae ni kubaliki uchafu na ufisadi tuhuma ambazo zinamkabili mda mrefu na ameshindwa kuthibitisha kuwa hahusiki nazo.
Atakuunganisha na marafiki wake wasioaminika

anahasira za kukatwa hivyo hakuna uhakika kama hana kisasi moyoni.

Magufuli jipe moyo Wafuasi wa Lowasa waliobaki wapo monduli tu. Wengine wamelala mbele na naamini utashinda bila msaada wa mafisadi.

na lazma Lowasa ajue unaweza kuwa raisi bila yeye kukusapoti na unaweza.

Kumbuka JK aliingia kwa msaada wa Lowasa na watuhumiwa wa ufisadi na akashindwa kufanya mazuri kwenye nchi.

Najua magazeti ya Lostam yatamsifu na kukuponda na ya Mengi pia sijui alihaidiwa vitaru vya gesi? Kuwa na imani utashinda tu.
Tatizzo tu ni pale uliporejea 'usafi'...ni nani msafi huko na hana kashifa hata ndogo ya ufisadi. Kumbuka ufisadi mkubwa uanza na mfogo.
 
Sawa mkuu, umekuwa mshauri mzuri. Mshauri na mbunge wenu Shibuda!
 
chambua hoja sio majibu ya mkato. au umejibu kichwa cha habari tu. Unatakiwa kuwa great thinker

achana nao bwana hao 'team Lowassa'
kwa kumbeba Lowassa katika kampeni ni ujuha kwani jamaa anaumwa sana na hatafika popote na mali zake.
Majibu tu ni Magufuli anavyowararua Shunyanga, Kanda ya Ziwa yote wenyewe wajiunge na hako kainji ka kaskazini.
 
CCM ni ile ileeee wembe ni ule ulee...
🎶🎵 nilisikia huu wimbo alipopitishwa magufuli dodoma... Naaam wanamaanisha ccm haitibadilika kamwe..
 
Kwanza wengi wameisha kili utendaji wako mzuri na kunashaka ndogo zaidi juu ya uadilifu wako kuliko wagombea wote wa CCM.
naomba uachane na Usikubali kukaa meza moja na Lowasa kwasababu zifuatazo.

Moja Lowassa anataka ahakikishiwe kulindwa kwa maslahi yake yeye na marafiki zake kama wewe ukiwa raisi hata kama yanaumiza maslahi ya nchi. Ndio maana anatumia watu umuite eti mtafute maridhiano.
Pili lowasa sio msafi machoni pa wakosoaji kuambatana nae ni kubaliki uchafu na ufisadi tuhuma ambazo zinamkabili mda mrefu na ameshindwa kuthibitisha kuwa hahusiki nazo.
Atakuunganisha na marafiki wake wasioaminika

anahasira za kukatwa hivyo hakuna uhakika kama hana kisasi moyoni.

Magufuli jipe moyo Wafuasi wa Lowasa waliobaki wapo monduli tu. Wengine wamelala mbele na naamini utashinda bila msaada wa mafisadi.

na lazma Lowasa ajue unaweza kuwa raisi bila yeye kukusapoti na unaweza.

Kumbuka JK aliingia kwa msaada wa Lowasa na watuhumiwa wa ufisadi na akashindwa kufanya mazuri kwenye nchi.

Najua magazeti ya Lostam yatamsifu na kukuponda na ya Mengi pia sijui alihaidiwa vitaru vya gesi? Kuwa na imani utashinda tu.

Lowassa alikuwa na marafiki wengi sana matajiri na wafanyabiashara maarufu ndio maana CCM wakaamua kumkata maana angebidi awalipe fadhila baada ya kuwa Rais maana Wamempa mkwanja wa kutosha kwenye harambee na kampeni za safari ya matumaini
 
Kwanza wengi wameisha kili utendaji wako mzuri na kunashaka ndogo zaidi juu ya uadilifu wako kuliko wagombea wote wa CCM.
naomba uachane na Usikubali kukaa meza moja na Lowasa kwasababu zifuatazo.

Moja Lowassa anataka ahakikishiwe kulindwa kwa maslahi yake yeye na marafiki zake kama wewe ukiwa raisi hata kama yanaumiza maslahi ya nchi. Ndio maana anatumia watu umuite eti mtafute maridhiano.
Pili lowasa sio msafi machoni pa wakosoaji kuambatana nae ni kubaliki uchafu na ufisadi tuhuma ambazo zinamkabili mda mrefu na ameshindwa kuthibitisha kuwa hahusiki nazo.
Atakuunganisha na marafiki wake wasioaminika

anahasira za kukatwa hivyo hakuna uhakika kama hana kisasi moyoni.

Magufuli jipe moyo Wafuasi wa Lowasa waliobaki wapo monduli tu. Wengine wamelala mbele na naamini utashinda bila msaada wa mafisadi.

na lazma Lowasa ajue unaweza kuwa raisi bila yeye kukusapoti na unaweza.

Kumbuka JK aliingia kwa msaada wa Lowasa na watuhumiwa wa ufisadi na akashindwa kufanya mazuri kwenye nchi.

Najua magazeti ya Lostam yatamsifu na kukuponda na ya Mengi pia sijui alihaidiwa vitaru vya gesi? Kuwa na imani utashinda tu.

Kili, Lostam na Vitaru ndiyo nini?
 
kwanza wengi wameisha kili utendaji wako mzuri na kunashaka ndogo zaidi juu ya uadilifu wako kuliko wagombea wote wa ccm.
Naomba uachane na usikubali kukaa meza moja na lowasa kwasababu zifuatazo.

Moja lowassa anataka ahakikishiwe kulindwa kwa maslahi yake yeye na marafiki zake kama wewe ukiwa raisi hata kama yanaumiza maslahi ya nchi. Ndio maana anatumia watu umuite eti mtafute maridhiano.
Pili lowasa sio msafi machoni pa wakosoaji kuambatana nae ni kubaliki uchafu na ufisadi tuhuma ambazo zinamkabili mda mrefu na ameshindwa kuthibitisha kuwa hahusiki nazo.
Atakuunganisha na marafiki wake wasioaminika

anahasira za kukatwa hivyo hakuna uhakika kama hana kisasi moyoni.

Magufuli jipe moyo wafuasi wa lowasa waliobaki wapo monduli tu. Wengine wamelala mbele na naamini utashinda bila msaada wa mafisadi.

Na lazma lowasa ajue unaweza kuwa raisi bila yeye kukusapoti na unaweza.

Kumbuka jk aliingia kwa msaada wa lowasa na watuhumiwa wa ufisadi na akashindwa kufanya mazuri kwenye nchi.

Najua magazeti ya lostam yatamsifu na kukuponda na ya mengi pia sijui alihaidiwa vitaru vya gesi? Kuwa na imani utashinda tu.

siku nyingine epukakuandika upopompo kwenye ma great thinkers

bado siamini n wewe umeandika

lostam.....loh
 
Back
Top Bottom