Tafadhali Magufuli achana na Lowassa kabisa

kila anayemtetea Lowasa kaishakula tu. Lowasa ameshindwa kuongea ukweli kuhusu Richmond mpaka leo anataka nchi ya nini.

Hatuangalii maslahi ya chama tunaangalia maslahi ya nchi. Bora CCM ianguke kuliko raisi kufungamana na kundi la kifisadi

Kama kila anaemtetea Lowasa kaisha kula tu kwa mjibu wa wewe,Je vipi kuhusu nyie walimu mnao mponda mumepewa nini
 
Akifanya hivyo ajiandae na serekali ya mseto. Maana swala sio uraisi bali na idadi ya wabunge pia...itabidi aanze kuazima wabunge ukawa kuafanya mawaziri.....tundu lissu ndo atakuwa mwanasheria mkuu wake

Kwa katiba ya sasa mwanasheria mkuu hutokana miongoni mwa watumishi wa umma waandamizi wanasheria, Tundu Lisu sio mtumishi wa umma
 
nifah jamaa yupo right kabisa, lowassa ni mwizi, jambazi na fisadi anatakiwa awe ndani muda huu...!
 
Last edited by a moderator:
Kwanza wengi wameisha kili utendaji wako mzuri na kunashaka ndogo zaidi juu ya uadilifu wako kuliko wagombea wote wa CCM.
naomba uachane na Usikubali kukaa meza moja na Lowasa kwasababu zifuatazo.

Moja Lowassa anataka ahakikishiwe kulindwa kwa maslahi yake yeye na marafiki zake kama wewe ukiwa raisi hata kama yanaumiza maslahi ya nchi. Ndio maana anatumia watu umuite eti mtafute maridhiano.
Pili lowasa sio msafi machoni pa wakosoaji kuambatana nae ni kubaliki uchafu na ufisadi tuhuma ambazo zinamkabili mda mrefu na ameshindwa kuthibitisha kuwa hahusiki nazo.
Atakuunganisha na marafiki wake wasioaminika

anahasira za kukatwa hivyo hakuna uhakika kama hana kisasi moyoni.

Magufuli jipe moyo Wafuasi wa Lowasa waliobaki wapo monduli tu. Wengine wamelala mbele na naamini utashinda bila msaada wa mafisadi.

na lazma Lowasa ajue unaweza kuwa raisi bila yeye kukusapoti na unaweza.

Kumbuka JK aliingia kwa msaada wa Lowasa na watuhumiwa wa ufisadi na akashindwa kufanya mazuri kwenye nchi.

Najua magazeti ya Lostam yatamsifu na kukuponda na ya Mengi pia sijui alihaidiwa vitaru vya gesi? Kuwa na imani utashinda tu.
Mkuu unauhakika?vijana wanandoa panga kuiondoa ccm madarakani
 
nifah jamaa yupo right kabisa, lowassa ni mwizi, jambazi na fisadi anatakiwa awe ndani muda huu...!

Wewe? Huo ujambazi ulithibitishwa na nani?
Amewahi kuhojiwa na nani kuhusu huo ufisadi wake?
Hizi ni siasa tu best, nadhani kwa uelewa wako unajua kua ule mchezo ulikua vipi.
 
Last edited by a moderator:
Kwa sasa tunahitaji chama kingine kiongoze dola tuone utendaji wake na si vinginevyo!!!
 
Kwanza wengi wameisha kili utendaji wako mzuri na kunashaka ndogo zaidi juu ya uadilifu wako kuliko wagombea wote wa CCM.
naomba uachane na Usikubali kukaa meza moja na Lowasa kwasababu zifuatazo.

Moja Lowassa anataka ahakikishiwe kulindwa kwa maslahi yake yeye na marafiki zake kama wewe ukiwa raisi hata kama yanaumiza maslahi ya nchi. Ndio maana anatumia watu umuite eti mtafute maridhiano.
Pili lowasa sio msafi machoni pa wakosoaji kuambatana nae ni kubaliki uchafu na ufisadi tuhuma ambazo zinamkabili mda mrefu na ameshindwa kuthibitisha kuwa hahusiki nazo.
Atakuunganisha na marafiki wake wasioaminika

anahasira za kukatwa hivyo hakuna uhakika kama hana kisasi moyoni.

Magufuli jipe moyo Wafuasi wa Lowasa waliobaki wapo monduli tu. Wengine wamelala mbele na naamini utashinda bila msaada wa mafisadi.

na lazma Lowasa ajue unaweza kuwa raisi bila yeye kukusapoti na unaweza.

Kumbuka JK aliingia kwa msaada wa Lowasa na watuhumiwa wa ufisadi na akashindwa kufanya mazuri kwenye nchi.

Najua magazeti ya Lostam yatamsifu na kukuponda na ya Mengi pia sijui alihaidiwa vitaru vya gesi? Kuwa na imani utashinda tu.

Rudi darasani kajifunze upya kuandika..... Ndio uje hapa tena...
 
Kaka uko sahihi,kwanza magufuri kukaa meza ya maridhiano na lowasa ni weakness hizo,na pindi akiwa karibu yake atamhujumu ili aonekane kwamba si mtendaji mzuri na alibebwa tu,kumbuka kuna chanzo cha habari kimeandika kwamba huyo mamvi alikuwa anamzunguka mheshimiwa raisi pale alipokuwa anawateua wakurugenzi,wakuu wa wilaya,wakuu wa mikoa kwamba mheshimiwa rais hakupenda kuwateua hao watu isipokuwa yeye mamvi alijinasibu kuwapigia debe wateuliwe hivyo akawa anajenga kwake kwa mheshimiwa raisi anamvurugia,pia kauri ya raisi mstaafu ktk kikao cha kamati kuu kupokea majina matano toka wazee wa maadili,wakina nchimbi walipoanza zengwe kwa nini jina la lowasa halipo,raisi mstaafu alisema mwenyekiti ambaye raisi anavyanzo vya kutosha vya taarifa za watu,na anataarifa za kutosha kuhusu lowasa,na mengine ni ya aibu kuyazungumza hadharani ambayo yalifanywa na lowasa,soma mwananchi pia la leo,page ya puli au tatu
 
umenielewa vizuri sana mkuu. bora magufuli awe raisi kuliko raisi kwa mgongo wa Lowasa
 
Tatizo watu wanapenda kupitiliza,tuangalie tu kwa akili ya kawaida,kulikuwa na hsja gani ya kupinga matokeo kwa kuchoma kadi za ccm na kujiunga na chadema kule monduli,sasa nimebaini mkuu kumbe visirani na kususa ni asili ya watu wa Arusha
 
Kwanza wengi wameisha kili utendaji wako mzuri na kunashaka ndogo zaidi juu ya uadilifu wako kuliko wagombea wote wa CCM.
naomba uachane na Usikubali kukaa meza moja na Lowasa kwasababu zifuatazo.

Moja Lowassa anataka ahakikishiwe kulindwa kwa maslahi yake yeye na marafiki zake kama wewe ukiwa raisi hata kama yanaumiza maslahi ya nchi. Ndio maana anatumia watu umuite eti mtafute maridhiano.
Pili lowasa sio msafi machoni pa wakosoaji kuambatana nae ni kubaliki uchafu na ufisadi tuhuma ambazo zinamkabili mda mrefu na ameshindwa kuthibitisha kuwa hahusiki nazo.
Atakuunganisha na marafiki wake wasioaminika

anahasira za kukatwa hivyo hakuna uhakika kama hana kisasi moyoni.

Magufuli jipe moyo Wafuasi wa Lowasa waliobaki wapo monduli tu. Wengine wamelala mbele na naamini utashinda bila msaada wa mafisadi.

na lazma Lowasa ajue unaweza kuwa raisi bila yeye kukusapoti na unaweza.

Kumbuka JK aliingia kwa msaada wa Lowasa na watuhumiwa wa ufisadi na akashindwa kufanya mazuri kwenye nchi.

Najua magazeti ya Lostam yatamsifu na kukuponda na ya Mengi pia sijui alihaidiwa vitaru vya gesi? Kuwa na imani utashinda tu.

Kwa nini hamuwafukuzi uanachama hao mnaodhani ni mafisadi ndani ya CCM? Au ufisadi unaonekana pale mtu anapogombea nafasi fulani kupitia CCM?
 
Back
Top Bottom