kama ndivyo kila la heri kakani urafiki tu na kushauriana
kama ndivyo kila la heri kakani urafiki tu na kushauriana
Shukrani kwa ushauri mkuu, ni hapo hapo 25-30
Hili neno limenikumbusha jina la mwalimu mmoja wa tuisheni za Bailojia, sijui yule bwana atakuwa wapi!!!
wewe ni me, si ndio?
unataka kuwaCHUNGUZA nini we mchunguzi?
Umri huo wengi wao wanakua kwny ndoa, sasa je umejipangaje kuhakikisha ndoa zetu zinabaki salama?
sasa wewe unazuia wanume wasiingie wengine wana dada zao wanaweza wakakupa connection unajikosesha rizki burebure.!!
kwa kuwa nina marafiki wengi wa kiume na hao ndio walionihamasisha mimi kuingia katika ufugaji nakuacha kufikiria kuhusu kuajiriwa bali nijiajiri. hata hao marafiki zangu wa kiume wengi wao wamenizidi umri hivyo ninakuwa napata mawazo kutoka kwa watu wenye uzoefu zaidi katika maisha
jibu zuri ila pia ungeendelea kupata na marafiki wa kiume kwani utazidi kupata kupata kitu kipya zaidi
hujakosea mkuu
Mtoto wa kiume na mapum.bu yako unaongozwa na mvaa pedi...?
Mtoto wa kiume na mapum.bu yako unaongozwa na mvaa pedi...?
mtaani kwako una marafiki wa aina gani?
na vipi kama ukipata rafiki humu wa sifa utakazo then akabadilika kwa hapo baadae?
je, utarudi kumfungulia uzi?
si mara zote lakini mara nyingi wanawake walio chini ya miaka 30 wanafikiria zaidi mapenzi na si maisha, SI WOTE. hivyo naamini kuwa na urafiki na wanawake waliozidi miaka 30 kutanifanya nipate mawazo mazuri zaidi kuhusu kupambana na maisha. asante