TAFADHALI: Inahusu WANAWAKE wenye MIAKA 30 na KUENDELEA

TAFADHALI: Inahusu WANAWAKE wenye MIAKA 30 na KUENDELEA

Hivi wewe c ndo ulituambia siye wazeeee? Sasa unataka urafiki na kizeee?
Ati???
Kumbe alishatuita vikongwe?
Bora umetujuza hili maana nilishaanza kuchonga penseli mie niende PM,nilivyosikia mifugo nikawa nawaza lita za maziwa na majogoo ya rafiki tu!
Uroho huu
 
ungescan vyeti vyako na kuweka hapa.ikiwezaka na latest salary slip yako.
lara 1
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom