Tafadhali CAG usijiuzulu

CAG ni mcha Mungu sana ana mbwembwe ukikutana naye anapokuwa anatoka maikitini uwezi amini kama ni yule kichwa mwenye CV ya kurasa 14. Anamwamini sana Mungu hivyo tusiwe na wasiwasi na visokoeokwino kumfanyia chochote. Hata Utoh anamwamini sana yeye chakula yake ni sala tuu
 
Niulize CAG ana umri gani? Naona ka anakaribia kustaafu au ni macho yangu?
 
Bunge badala ya kuchunguza matumizi ya serikali wanachunguza mayai ya mtu kama ni viza au la? Hebu JPM watumikie watanzania, hivi nyalandu yupo?
 
Ukilaza wa Lumumba huu ni lini alimteua?
Lumumba sipajui. Anyway hata kama kateuliwa na mtangulizi wake kwa hiyo anawajibika kwa nani sasa. Aende kwa mkwere basi. Zero digits kabisa mkuu
 
Issue Kwa sasa ipo bungeni, wabunge wanahaki ya kuibana serikali, wewe hapa unafanya siasa kwenye suala nyeti
 
wasemaji wa CAG Mnapambana !
[emoji16][emoji16][emoji16],walimsifu kinyama, kuanzia Jana wameanza kumgeuka na kumwambia ajiuzuru, wajinga Sana, Majibu ya naibu waziri wa fedha, hakuna mchadema wa Zitto awezaye pangua Majibu hayo, wamebaki Jukwaani Kaa ID fake wakigugumia [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hii nchi niya ajabu sana nilipo ona raisi ana muuliza cag mbele ya halaiki nika zalau kabisa.
na aliuliza leading question ,,, swali la ndiyo au hapana.
 
Mnatajirisha jf tu! Yaani mliozoezi kick za wizi tafuteni hoja nyingine hapa ni Kazi tu!
 
Mnatajirisha jf tu! Yaani mliozoezi kick za wizi tafuteni hoja nyingine hapa ni Kazi tu!
Eleza trillion 1.5 ilipo? Leo ndo umekumbuka kuwa tunaitajirisha JF!!!... Kwa nini mna wivu na utajiri wa wenzenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…