Tuacheni mbwebwe Tabora hakuna Chadema bana.
Tabora hamna chadema ndo maana maendeleo duni, Tabora ya sasa ni tofauti mkuu kuna chuo kikuu hapa na sehemu yeyote ambayo kuna chuo kikuu kunakuwepo na elimu ya uraia inayowafanya watu kujitambua kupitia wasomi hao, Tabor unayoijua sio ile ya mwaka 2005 watu wameamka wamepuuza propaganda zenu za udini.
Mimi Tabora naijua yote pale mjini, Kanyenye. Bachu, Ngambo, Uwaziri, pale sokoni Meya Hotel nikifika Tabora huwa nakula hapo.Wewe unaijua Tabora? Au umetoa macho kwenye mtandao?
we acha ubwege Tabora is my home town naijua zaid unavyoijua wewe kwanza Tabora hakuna chadema hata chembe sasa we unaongea nini acha ushamba bwana mtu mzima unatia aibu.
Walaaniwe wazinifu woteDr Slaa pambana na haya makaburu ya Tanzania. Tunakuunga mkono.
unadhani Singida mashariki kwa Lissu kulikuwa na cdm.jiulize alipenyaje.na ndio kosa wanalofanya CCM Tabora,wameridhika sana kiasi cha kuamini Munde anaweza kuwa mbunge,huyu nimefanya nae kazi LAAC mwaka huu,hajui kitu ni mtupu.nimeitembelea ofisi ya tawi ikiyopo mkabala na Magamba pale kontena,vijana wana mbinu kali sana
Tabora hawana mda wa kukusanyika kwa ajili ya wazinifu
Wakati Mwanza wakijiandaa na mkutano mkubwa wa hadhara wa Mkiti wa Taifa, Freeman Mbowe leo, hapa Tabora kuna mapokezi makubwa sana msafara wa Gwiji wa Siasa Tanzania na Katibu Mkuu CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa unapita Tabora mjini kwenda Jimbo la Tabora Kaskazini.
Wananchi wa Tabora mjini wamejitokeza kwa wingi sana kumpokea Katibu Mkuu wa CHADEMA. Ni msururu wa Pikipiki na Magari ambayo idadi yake kwa harakaharaka ni vigumu kutoa hesabu yake.
Watu wamejipanga barabara zote huku wakimshangilia Dr Slaa kwa mfano ambao ni historia.
Source: Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene
Majimbo yote ambayo chadema iliazimwa na ccm 2010 yatarudi 2015 kwa kishindo. Wauwaji hawatakiwi tena tzninakubaliana na wewe 100% hata dodoma mjini hali ni tofauti sana sasa hivi
Hii misukule ni janga la taifa
Walaaniwe wazinifu wote
Wacha upumbavu tafuta kazi ufanye we pimbi! Hadi leo unapotezewa muda na wanasiasa,mafanikio ya Dk Slaa yatakusaidia nini wewe! Hangaikia tumbo lako na familia yako kama Slaa anavyo hangakia Maisha yake ktk siasa. Unadhani yupo kwa ajili yako!.