Tabora: Wabunge wa CHADEMA waachiwa kwa dhamana; Kupokewa kwa maandamano Igunga

Mungu wetu awazidishie nguvu kupambana na udhalimu wa ccm lakini siku zinakuja watakapoikimbia nchi yetu na kwenda kufia kwenye mataifa mengine hii dhambi itawlilia mpaka vizazi na vizazi waendelee kuonea tu.

Mnaharibu dhana nzima ya maandamano.mtake kubaka watu wawashtaki maandamano,mdharirishe wanawake kijinsia maandamano,mdhihaki wanawake wa kiislam kwa kuwavua hijabu maandamano,mpige watu na kujichukulia sheria mkononi maandamano.huu si ujanja ni kutaka kuwageuza watz ndondocha.cdm is not trusted at all.

pole sana,mwaka huu mtaisoma namba.

hii imekaa vizuri,mkubali msikubali hata malaika wnajua kuwa TZ kuna mkombozi wa walalahoi ..CHADEMA tuuuuuuuuuu...
Peoplesssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr..

Chama cha Maandamano yasikuwa na tija yoyote kwa taifa. Vipi posho za maandamano.

Kila kichwa buku tano, Dr Slaa, Mbowe Laki saba, kila mmoja hawa kina Regia Mtema, wengine 100,000 Pipozz powerr!!

Upo? Ushamalizana na yule mzungu?

Hapo ndio utapowapenda CDM, sijui kwanini CCM hawajifunzi kwa makosa yao wanayofanya kila siku, hawajui tu kwa kitendo hicho wamewaongezea CDM kura ngapi hapo Igunga :whoo:

Mnaharibu dhana nzima ya maandamano.mtake kubaka watu wawashtaki maandamano,mdharirishe wanawake kijinsia maandamano,mdhihaki wanawake wa kiislam kwa kuwavua hijabu maandamano,mpige watu na kujichukulia sheria mkononi maandamano.huu si ujanja ni kutaka kuwageuza watz ndondocha.cdm is not trusted at all.

Twahil ondoa upumbavu wako hapa sio ukumbi wa wajinga kama wewe!!!

wamesahau walichofanya kwa wenje, lema na wengine hahaa magamba bwana hawajifunzi kupitia makosa, igunga kanyaga twendeee

kazi oipo...hawa magamba hawana lao kule igunga wanalazimisha.......malaria sugu asubuhi kawapa ushauri mzuri sana ila huwa hawasikii

Mmh!!!!!!!!!!!!!!!!
avatar46407_1.gif

Nitapita tena baadae

unaelekea wapi na bendera yako.......hamia chadema

Hapo ndipo nawapendea Chadema, wanajua kucheza na matukio.
Magamba walifikiri wamewaweza Chadema, kumbe wenzao wana plan B.

Peopleeeeeeeeeeeeeesssssss.......

CCM inanishangaza sana. Inakurupuka kukuza mambo madogo na matoleo yake ni kuwapa umaarufu usiokuwa wa lazima CDM,na Polisi nao kujitia kimbelembele nao wanawapaisha CDM, kesi ndogo wanaifanya kubwa hasa pale zinapowahusu wapinzani wa CCM, zile kubwa za kifisadi wanazibania au kuzichakachua. Polisi wetu wamerogwa?Kwa nini hawatumii professionalism?Gharama walizotumia kuwapelea watuhumiwa TBR kwa kesi ya kuchongwa analipa nani?Balozi wa CCM aliyekamatwa na kadi kimya, CDM wakichukua sheria mkononi kelele!

Mnaharibu dhana nzima ya maandamano.mtake kubaka watu wawashtaki maandamano,mdharirishe wanawake kijinsia maandamano,mdhihaki wanawake wa kiislam kwa kuwavua hijabu maandamano,mpige watu na kujichukulia sheria mkononi maandamano.huu si ujanja ni kutaka kuwageuza watz ndondocha.cdm is not trusted at all.
And will never be trusted.

Back
Top Bottom