Mnaharibu dhana nzima ya maandamano.mtake kubaka watu wawashtaki maandamano,mdharirishe wanawake kijinsia maandamano,mdhihaki wanawake wa kiislam kwa kuwavua hijabu maandamano,mpige watu na kujichukulia sheria mkononi maandamano.huu si ujanja ni kutaka kuwageuza watz ndondocha.cdm is not trusted at all.
Next time watakumbuka maneno ya wahenga 'Kumpiga chura teke ni kumuongezea hatua'...

Chama cha Maandamano yasikuwa na tija yoyote kwa taifa. Vipi posho za maandamano.

Kila kichwa buku tano, Dr Slaa, Mbowe Laki saba, kila mmoja hawa kina Regia Mtema, wengine 100,000 Pipozz powerr!!
Mnaharibu dhana nzima ya maandamano.mtake kubaka watu wawashtaki maandamano,mdharirishe wanawake kijinsia maandamano,mdhihaki wanawake wa kiislam kwa kuwavua hijabu maandamano,mpige watu na kujichukulia sheria mkononi maandamano.huu si ujanja ni kutaka kuwageuza watz ndondocha.cdm is not trusted at all.

Upo? Ushamalizana na yule mzungu?

wameachiwa au wamepewa dhamana, fafanua.
Mmh!!!!!!!!!!!!!!!!
Nitapita tena baadae

Upo? Ushamalizana na yule mzungu?

Hongera. Kazeni buti kulinyakua igunga. Lkn muheshimu hijab tu na sio mnavua vua watu

LEO KUNA mtu kaiba password yako bwana masaburi
Hapo ndio utapowapenda CDM, sijui kwanini CCM hawajifunzi kwa makosa yao wanayofanya kila siku, hawajui tu kwa kitendo hicho wamewaongezea CDM kura ngapi hapo Igunga :whoo:
And will never be trusted.Mnaharibu dhana nzima ya maandamano.mtake kubaka watu wawashtaki maandamano,mdharirishe wanawake kijinsia maandamano,mdhihaki wanawake wa kiislam kwa kuwavua hijabu maandamano,mpige watu na kujichukulia sheria mkononi maandamano.huu si ujanja ni kutaka kuwageuza watz ndondocha.cdm is not trusted at all.