Tabora: Wabunge wa CHADEMA waachiwa kwa dhamana; Kupokewa kwa maandamano Igunga

Expecting CCM to be fair b'coz they claim to have more party members than the others is like expecting the bull not to charge b'coz you are vegetarian.
changes is innevitable. Amebadilika, tumpokee.
 
wameachiwa kwa dhamana,kesi itasomwa tena tarehe kumi mwezi wa kumi.wananchi wasukuma gari kuanzia ahakamani mpaka central business district.makamanda wamesema wanarudi igunga mpaka kieleweke.
 
Wana wa Tanzania,

Taarifa hizi ni njema kama ni kweli na tunampongeza sana Mhe. Tundu Lissu kwa kazi anayofanya. Hao wanaouliza kuhusu wameachiwa kwa namna gani wajue ziko taratibu. Kama watuhumiwa lazima wamesomewa mashtaka ya kumvamia DC na kumvua hijabu na viatu. Lakini Jalada la pili ni kwa upande wa CDM kuingiliwa eneo la mkutano. Kuachiwa ni kawaida iwapo dhamana imetolewa na kukubaliwa.

Suala la kuhudhuria kesho, wiki ijayo au mwezi ujao ni jingine kwani huo ni utaratibu wa mahakama. Cha maana makamanda wako huru kuendelea na kampeni. Chadema kazi ni moja tu kuhakikisha kiti kinaondoka bila kujali ni nguvu gani itatumika na hao maharamia wa kisomali.
 
jamani hizi nguo za kijani hazina tofauti na masaburi
lissu,suzan na kasulumbai komaeeni wapiganaji waache ccm waendelee na madaftari mtaani na kusambaza ukimwi tu
mkuu wa wilaya mwenyewe anaesema amefunuliwa kitovu ni yule bibi hivyo,sasa kitovu chake cha nini
 
Makamanda akina Tundu Lissu, Kasulumbai na Ester wapo Nzega Motel wanapata msosi Nzega tayari kwa kwenda Igunga. Wana vumbi balaa, kwani barabara ya Nzega Tabora haifai. Nawasilisha.

Asante sana kwa taarifa lakini inabidi mlioko huko mhakikishe mnaleta heshima ndani ya chama maana CCM wakishinda hamtakaa huko
 
maandalizi ya mapokezi yanaendelea vizuri sana. mapokezi yataanzia kata ya Ziba kuelekea kata ya Nanga kisha kukutana na sisi igunga mjini machinjio na kuelekea moja kwa moja maeneo ya ofisi za wilaya za chama igunga mjini. mpaka sasa mji mzima umezizima bendera za chadema pamoja na wafuasi wapo barabarani kwa wingi wakisubiri mapokezi ya makamanda waukweli. mungu ibariki chadema, mungu ibariki Tanzania.
 
Saa ya ukombozi ya watanzania ndiyo sasa.Watafanya kila hila hao ccm na watalishi wao lakini hakuna kuwa na hofu maana Mungu yuko pamoja na wapinzani.Madhambi yao ccm na serikali yametosha na siasa zao uchwaara.Chadema ni chama chenye dhamira ya kumletea maendeleo mwananchi kweli.Karibuni wabunge wetu tupambane na hao magamba na hivi yamekuwa magumu kuvulika safari tutayababua kwa moto
 
Naamini hata kama CDM haitashinda Igunga moto waliouwasha hautasahaulika kamwe na itakuwa imejijengea mazingira mazuri ya ushindi kuelekea 2015
 
maandalizi ya mapokezi yanaendelea vizuri sana. mapokezi yataanzia kata ya Ziba kuelekea kata ya Nanga kisha kukutana na sisi igunga mjini machinjio na kuelekea moja kwa moja maeneo ya ofisi za wilaya za chama igunga mjini. mpaka sasa mji mzima umezizima bendera za chadema pamoja na wafuasi wapo barabarani kwa wingi wakisubiri mapokezi ya makamanda waukweli. mungu ibariki chadema, mungu ibariki Tanzania.
Narudia tena kitendo cha kuwakamata wabunge ni zaidi ya kampeni kwa CDM nafikiri CCM kama wana akili nzuri sasa wanajutia tatizo huwa hawajifunzi kutokana na makosa.
 
wewe naye mwehu kama hao waliokuwa wamekamatwa. kama unapenda fujo na utovu Wwa nidhamu si uende huko Libya na Yemen. yani wamefanya upuuzi halafu unawaita wapambanaji. ama kweli CHADEMA IMEJAA MAJINGA MATUPU.


Mwerevu kwenye mkusanyiko wa wajinga wa ccm siku zote ataonekana mjinga ila mara ngapi wana CCM na chama chao wanaumbuka wanajua wao.
 
Tehe tehe hapo hakuna tana kesi, hivi Kesi ya Lissu kule Tarime inaendeleaje?, kesi ya viongozi wa Chadema kule Arusha nayo vipi?? na Mh Mbowe kesi inaendelea lini?
 
wameachiwa kwa dhamana kwa kila mmoja kuwa na mdhamini mmoja na kiasi cha tsh 5000000 kila mmoja. Wameshtakiwa mashtaka manne 1.kutukana matusi. 2. Kujeruhi sehemu za kichwa,shingo na sehemu mbali mbali za mwili. .3.Kumweka chini ya ulinzi isivyo halali.4.....- nitawajuza nimepitiwa .source Tbc saa 7
Lile la kubaka ameamua asiliweke? Aibu yake DC kubwa sana, nani ambake yule!!? Na yule kada wa magamba amesharudusha chupi ya mke wa ustadh?
 
Nimeipitia thread mwanzo mwisho, simuoni mwita25, ritz, rejao wala faiza fox, sijui wanaona haya...? Yapo majina madogomadogo ndo yanajibujibu.
 
kwa taarifa nilizozipata muda huu kutoka Igunga, ni kwamba wanachama na hata wale si wanachama wa chadema, wamejitokeza kwa wingi mjini Igunga kwa ajili ya kuwapokea makamanda watatu wa chadema waliotuhumiwa eti wamemdhalilisha dc wa Igunga bi fatuma kimario. kutoka Tabora kuja Igunga. watu wamejitokeza kwa wingi sana, yaani mwenye bajaj hayaaa..., mwenye baiskeli hayaaa...., wenye guta hayaaa..., wenye kuja na ng'ombe, punda hayaaa..., yaani full shangwe. polisi wamebaki kung'amua macho tu. picha baadae kidogo.

source: kijigo junior- Aliopo Igunga kwa sasa.

nawasilisha.
 
Huyu mama DC ni muungwana sana, naona vitu vingine walivyomuibia kaamua kumuachia mungu hawalani.
Wameiba Laptop yake aina ya Dell Pentium M. pamoja na Apple-iPad 2. Najua tu kuna mbunge mmoja wa Magwanda lazima atakuwa anaitumia hii iPad 2 bungeni
 
Back
Top Bottom