figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,991
- 63,866
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako, amemuagiza Katibu Mkuu Wizara hiyo, kuwaondoa mara moja kwenye nafasi zao Kaimu Mkurugenzi wa Ualimu, Basiliana Mrimi na Mratibu wa Miradi wa Idara hiyo Fredrick Shuma.
Amesema maofisa hao hawana sababu ya kuendelea kuwa na nyadhifa ambazo hawawezi kuzitendea haki hasa kwa kushindwa kusimamia majukumu yao kwa weledi.
Waziri Ndalichako alitoa agizo hilo leo Septemba 30, Mjini Nzega, alipokuwa akikagua maendeleo ya upanuzi wa Chuo cha Ualimu cha Ndala ambapo alisema viongozi hao wameshindwa kuzisimamia kampuni za ujenzi za Sky Ward na United Builders zilizopewa kazi ya kufanya upanuzi katika chuo hicho.