BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Kumbukeni Tabora ina historia kubwa kwa uhuru wa nchi.Tabora ni watu walioelewa haraka maana ya vyama Vingi.Walimpa tabu kidogo Nyerere.Ninachowapendea Wanyamwezi sio wanafiki kwenye kusema ukweli wanakuchana live.Nawakumbuka James Mapalala,Kasanga Tumbo, Abdala Fundikira, Kasela Bantu
Wewe huwajui vizuri wanyamwezi...ni watu wa maneno maneno sanaa, fitina sanaa.
