SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,077
- 13,936
Wewe utakuwa umeishia stendWengi wao ni wabaya tofauti na wanavyo sifiwa.
Wewe utakuwa umeishia stendWengi wao ni wabaya tofauti na wanavyo sifiwa.
Kama ungekuwa na Imani ya Mungu ningekuambia Muogope Mungu, tangu 1994 hakuna mabadiliko kweli, unamuongepea Nani sasa? Na kwa faida ipi? Au ulitaka mabadiliko yepi kwa mfano?mjini haijabadilika mkuu, nimetoka huko mwaka 1994 nikiwa nimemaliza milambo secondary nikarudi 2018 hiim nikapita mitaa ya mwanza road, chemchem, isevya, kiloleni, nyumba nilizoacha miaka hiyo zipo vile vile, kwa kweli haijabadilika, ila nje ya mji kiduuuchu imebadilika, ila bado sana, sasa hujatembelea wilaya zake kama urambo, igunga, nzega, na sikonge, unaweza ukasema usirudi, ila napasifu kwa asali tu
Humtakii mema weweNjoo Sumbawanga
Ati eeeUkiona miji ambayo ccm wanakubalika sana ujue watu wake elimu duni, uchumi hovyo,
Agreed......Tabora pakiwa pabaya basi hakuna mji mzuri katika nchi hii.
Mji ulipangwa vizuri kuliko mji wowote hapa nchini.
Hauna vichochoro kama Dar
Hauna vumbi kama Dodoma au Shinyanga.
Karibuni mjiunge kelele na dharau za nini wakati mnaishia Chama Cha Maono.Ogopa sana maeneo ambayo Sisiem INA kubalika Kwa asilimia kubwa,huwa ni masikini WA elimu,makazi,maendeleo ,afya,nk
Njoo ,inbox ,Njoo Mitaa ya Kanyenye hapa tupate bapa na Moja baridi.
Weekend ndio inaanza hivyo kamanda
Sio kweliTabora pakiwa pabaya basi hakuna mji mzuri katika nchi hii.
Mji ulipangwa vizuri kuliko mji wowote hapa nchini.
Hauna vichochoro kama Dar
Hauna vumbi kama Dodoma au Shinyanga.
Nimekaa huko 2015 hadi 2017.Wewe utakuwa umeishia stend
Shinyanga nao ulipangwa, maeneo mengi yalipimwa na sasa unapendeza matembe mengi yamebomolewa, alieondoka 1995 hapo atapotea tu.Tabora pakiwa pabaya basi hakuna mji mzuri katika nchi hii.
Mji ulipangwa vizuri kuliko mji wowote hapa nchini.
Hauna vichochoro kama Dar
Hauna vumbi kama Dodoma au Shinyanga.
Ukifananisha na iringaTabora ni mjini wa kishamba ukiulinganisha na mji upi?
Misses u my lovely one pale pale chemchem Tabora moja!