Thanks Mr.Sasa Tabora utafananisha na mikoa kama Morogoro au Kilimanjaro.
Tabora is far better than Morogoro and Kilimanjaro combined.
Wanatuonea wivu mji mzuri tena safi sana pia umebeba history ya nchi yetu. Pia ilishawahi kuwa makao makuu ya Tanganyika pia East Africa ya Mjerumani. Chezea Mboka Manyema wewe.Mboka ndo mpango mzima.
Kweli mwaya.TABORA KWETU KUZURIIIIII
Mkuu ujanielewa, Tabora ina historia iliotukuka kwenye nchi hii , lakini haina misuli kwenye nyanja za maendeleo , hii ndio inayotupa mashaka tatizo ni nini?Kumbe Tz ina mikoa 10 tu.
Hizi sifa zingemisaidia angalau kuingia top 5 ya mikoa yenye utajiri , lakini wapi ni sifa zisizo na faidaWanatuonea wivu mji mzuri tena safi sana pia umebeba history ya nchi yetu. Pia ilishawahi kuwa makao makuu ya Tanganyika pia East Africa ya Mjerumani. Chezea Mboka Manyema wewe.
Tabora ndio mkoa wa ovyo , tunajua tabia za watu zinabadilikawanyamwezi sio wakurupukaji wala malimbukeni kama wengine walivolimbuka kwa helkopta za chadema
Pumba.... FWanyamwezi most of them ni wafitinishaji sana. Nawajuwa vizuri hawa viumbe, sio watu wazuri.
Kwahiyo hapo Dar es Salaam ulikaa wewe na ukaupa jina huo mji?Tatizo mahali mwarabu alipotawala kuna uswahili sana na maendeleo butu.Ona Ujiji Kigoma,msalala na Bukoli
huna hoja..na hatuungi mkono vyama visivyoelewekaTabora ndio mkoa wa ovyo , tunajua tabia za watu zinabadilika
utajiri upi!?..watu wanalima na kula,hawana time na vurugu..hyo mikoa yenye utajiri utajiri upo kwa wachache wengine shibe ni hekayaHizi sifa zingemisaidia angalau kuingia top 5 ya mikoa yenye utajiri , lakini wapi ni sifa zisizo na faida
Haya ni maneno ya kuficha umasikini , mikoa tajiri inakuja na vigezo vya kitaalamutajiri upi!?..watu wanalima na kula,hawana time na vurugu..hyo mikoa yenye utajiri utajiri upo kwa wachache wengine shibe ni hekaya
Hoja ninayo kubwa tu , pamoja na sifa zote za tabora kwanini inakimbizwa na mikoa ambayo haina historia kubwa kuizidi tabora ? au ndio sifa za kijingahuna hoja..na hatuungi mkono vyama visivyoeleweka
utajiri upi wewe pumbavu!!..mbona una hangaika tu kama umechomekwa uume,mkoa gani tajiri tanzania?!Haya ni maneno ya kuficha umasikini , mikoa tajiri inakuja na vigezo vya kitaalam
1. Darutajiri upi wewe pumbavu!!..mbona una hangaika tu kama umechomekwa uume,mkoa gani tajiri tanzania?!
dar inaweza kuwa ya kwanza..lakini utajiri upo kwa wachache,mo na wenzake..wangapi dar wana nyumba na wangapi wapangaji,wangapi tabora wana nyumba na wangap wapangaji?..linganisha wanaoshindia mahindi ya kuchoma na kashata dar na tabora,halafu sema wapi wana maisha mazuri1. Dar
2.
3.
.
.
.
.
.
.
9.KLM
Tabora haipo tatizo ni nini pamoja na masifa yote hayo ?
Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana.
Tafiti azipingwi na maneno ya vijiweni ndugu wala na hisia, wapinge BOT kwa tafiti sio maneno ya kuokota okotadar inaweza kuwa ya kwanza..lakini utajiri upo kwa wachache,mo na wenzake..wangapi dar wana nyumba na wangapi wapangaji,wangapi tabora wana nyumba na wangap wapangaji?..linganisha wanaoshindia mahindi ya kuchoma na kashata dar na tabora,halafu sema wapi wana maisha mazuri