Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,725
- 3,795
missing mwanaisungu ClubTabora ni mjini wa kishamba ukiulinganisha na mji upi?
Misses u my lovely one pale pale chemchem Tabora moja!
missing mwanaisungu ClubTabora ni mjini wa kishamba ukiulinganisha na mji upi?
Misses u my lovely one pale pale chemchem Tabora moja!
Thanks dear, usimstueeeThanks my lovely.
Walalao wala usiwaamshe waache walale tu mwaya ila mwenyewe ndio najua kuwa yaliyomo yamo my lovely.
Heshima kwako my.

mkuu haipo tena hiimissing mwanaisungu Club
Na ziromkuu haipo tena hii
mjini haijabadilika mkuu, nimetoka huko mwaka 1994 nikiwa nimemaliza milambo secondary nikarudi 2018 hiim nikapita mitaa ya mwanza road, chemchem, isevya, kiloleni, nyumba nilizoacha miaka hiyo zipo vile vile, kwa kweli haijabadilika, ila nje ya mji kiduuuchu imebadilika, ila bado sana, sasa hujatembelea wilaya zake kama urambo, igunga, nzega, na sikonge, unaweza ukasema usirudi, ila napasifu kwa asali tuAisee dodoma , tabora aaghr ni kubaya sna sio siri
Mamaaaaa huko ndo shidaJaribu singida
yani hii chemchem haijabadilika kabiiisa, ipo vile vile tangu miaka ya 90, naifahamu vizuri sana kwani nimesoma milambo secondary na chemchem ndio tulikuwa tunaenda ponea mademu wa kinyamweziTabora ni mjini wa kishamba ukiulinganisha na mji upi?
Misses u my lovely one pale pale chemchem Tabora moja!
Thanks dear, usimstueee![]()
![]()
![]()
Walikuloga? Maana vijana tongozatongoza ukatongoza hadi jiniMimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana.
Hahahaaa. Kwa kuwa ni watani zangu. Acha nikazie tu kwa kweli. 😀😀Hawa akina VISANDU huwa wanamatatizo sana.
Uongo ninaosemea mimi ni ule wa majungu wanyamwezi hatuna majungu majungu ya kipumbavuNi kweli wanawake wa kinyamwezi ni wasafi sana
hata wewe ni mshamba Tabora, ushamba ni ugeni wa mazingira, Mzungu akija bongo ni mshamba, kadhalika mwafrica kwenda ulaya.Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana.
Washirikina piaTabora kwa majungu na vijembe ndiyo wenyewe, halafu wanawake wa kinyamwezi ni wasafi sana sema wana wivu kama wachina