Tabora mji wa washamba kubayaaa

Tabora mji wa washamba kubayaaa

dar inaweza kuwa ya kwanza..lakini utajiri upo kwa wachache,mo na wenzake..wangapi dar wana nyumba na wangapi wapangaji,wangapi tabora wana nyumba na wangap wapangaji?..linganisha wanaoshindia mahindi ya kuchoma na kashata dar na tabora,halafu sema wapi wana maisha mazuri
Sometimes, ikutaka kuwa free from stresses, maisha ya mikoani ni bora kuliko ya dar.

Ila kama ni Mwizi, Malaya, Mpambe, Soga, muuza madawa, Naibu naniii. Dar ni Bomba kuliko Ulaya.
 
Mkuu ongeeza maelezo ushamba upi..??

uekuta watu wanaweka viatu kwenye friji au?
 
Nimepakumbuka chemchem ila tatizo kila Nyumba ishirini kuna masjid, heri pale kazaroho, ila umaskini wa pale ulikuwa unatisha, watu wanachomoa misalaba ya makaburini kupikia badala ya kuni, familia nyingi zilikuwa zinakunywa uji bila sukari, sijui siku hizi hali ipoje kwakweli!!..
 
Miji mingi Tanzania inafanana, hakuna tofauti sana, Tabora nimepita pia si kubaya kiivyo, kawaida tu kama miji mingine midogo.
 
Tabora sipajui, ila kuna watu, nawashangaa sana eti wao hujiona wajanja, wasomi, kuliko watu wote wa mkoa fulani.

Eti kwa sababu tu yeye anaishi Dar es allaam, basi anataka ulinganifu wa kila, kilichopo Dar, akione mkoa anakoenda.
 
utajiri upi wewe pumbavu!!..mbona una hangaika tu kama umechomekwa uume,mkoa gani tajiri tanzania?!
Hii sijaipenda, mjibu kwa hoja zenye nguvu tu, inatosha matusi ni dalili ya kushindwa.

Mimi huwa sipendi hii tabia ya kubagua, maana inaleta ukanda. Tanzania hakuna mkoa uliendelea, kama nchi haijaendelea mkoa, unaendeleaje, mbona wote tunalia hali ngumu, sijasikia watu wakijivunia waliko.
 
Hii sijaipenda, mjibu kwa hoja zenye nguvu tu, inatosha matusi ni dalili ya kushindwa.

Mimi huwa sipendi hii tabia ya kubagua, maana inaleta ukanda. Tanzania hakuna mkoa uliendelea, kama nchi haijaendelea mkoa, unaendeleaje, mbona wote tunalia hali ngumu, sijasikia watu wakijivunia waliko.
hiyo ni mara ya nne namjibu kwa hoja..mara zote tatu kang'ang'ania upuuzi wake
 
Tabora nimepamiss sana jaman... Kisandu junior ,Tabora kuna raha asikwambie mtu. Kwanza vitu bei rahisi, vyumba vya kupanga bei rahisi sehemu za bata zipo kama royal club, club 101, orion hotel na kwingineko.
Batoto ba mujini bapo pande za uhazili...bro Tabora cyo washamba bana sema hujawezana nao tu mkuu
 
Back
Top Bottom