Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,638
Wewe jamaa ni mwanaume wa Dar Es Salaam nini?
Kwa hiyo?
Ngoja aje #masopakyind utamueleza ubaya wakeMimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana.
Uongo huuTabora kwa majungu na vijembe ndiyo wenyewe, halafu wanawake wa kinyamwezi ni wasafi sana sema wana wivu kama wachina
Ni kweli wanawake wa kinyamwezi ni wasafi sanaUongo huu
Hili bandiko ni la mtu asiye na elimu, hekima na wala hajitambui.Mimi Kisandu Junior nimekaa mikoa mingi ila tabora ni mkoa wa kishamba sana.
![]()
![]()
umemsikia mchokozi huyo
Aisee ukweli unaochoma huu " wacha wameze dawa tuOgopa sana maeneo ambayo Sisiem INA kubalika Kwa asilimia kubwa,huwa ni masikini WA elimu,makazi,maendeleo ,afya,nk
Ameenda tabola halafu akajifanya kutembea na wake za watu,,naona walicho mfanya siri yake.Wamekufanya nini huko tabora jamaa
hahaha sehemu kama hizo huwaga mnafuata nini ""?Daladala zao sasa, nilichoka day one!!!!
Yeye mwenyewe kwao wanatumia kinyesi cha ng'ombe kama kuni wakizeeka wanaanza kushikana uchawi kisa macho mekundu hawajui ni madhara ya Moshi wa kinyesi cha ng'ombe, asamehewe bureHili bandiko ni la mtu asiye na elimu, hekima na wala hajitambui.
Vinginevyo atakuwa ni kijana mdogo sana ambaye hata kamasi za utoto hazijakauka.
Sehemu wanayoishi binadamu hauwezi kupasema ni pabaya.
Pangelikuwa ni pabaya wangelihama na kutafuta mahali pengine pakuishi, dunia ni kubwa hii.
Hivi ulishafika maeneo ya mikoa ambayo ni semi desert, hakuna miti, hakuna kilimo chenye tija, maji ni shida, watu wanatumia vinyesi vya mifugo kama nishati ya kupikia, lakini watu wapo, wanapapenda na wanapaona ni pazuri.
Na wakisafiri kwamfano kuja Dar wanapamiss mno kwao na wanarudi hima kwa haraka maana ni pazuri na pamawafaa kwa maisha yao.
Kuzungumzia pahala wanapoendeshea maisha na kujipatia riziki binadamu wenziyo ni zaidi ya utoto.
Haya, toa ushauri wako basi ili wahame huko, waende pazuri unapopaona wewe ni panafaa?
Hapo ndipo ninapokupendea dear, mwache aendelee kulalaHahahahah.
Naona anakuchokoza mwaya. Tabora kuzuri sana tatizo hajui uzuri wa Tabora huyo na asiyejua maana hatakiwi kupewa maana my dear.
So Lovely.
Na vichaa wengi yasemekana wanatokana na nzuri wa wanawake hao.Ila kuna wanawake wazur
Hawa akina VISANDU huwa wanamatatizo sana.Duuuh!
Hapo ndipo ninapokupendea dear, mwache aendelee kulala