Tabora: Mamalishe wamzuia Mbowe kwa muda, waomba kupiga naye picha ya Ukumbusho

Hii ndiyo Taarifa mpya kutoka Tabora , Kwamba Mwamba Mbowe akiwa katika harakati za Operesheni Haki huko Kanda ya Magharibi , amevamiwa na Kundi la Mama Lishe huku wakimtaka kupiga nao picha ya ukumbusho ndiyo aendelee na Operesheni zake , ambapo Mwamba alisalimu amri na kupiga picha na wamama hao , huku kibwagizo cha #Mwamba Tuvushe kikitamba .

View attachment 1810573
Sawasawa Mbowe juuuuu
 
sasa mdogo wangu hili nalo ni kundi? 😂 😂 😂 , leo mbna hujasema sehem ya kukanyaga hakuna
 
Hehehehe JF bana eti Nyomi la kufa Mtu. Anyway siasa ni amani upendo na ndio Maisha

Mwanasiasa akielezea jambo unaweza dhan ni nchi nzima imesimama kumbe alienda kupakua msosi sehemu akapiga nao picha
 
Mbna TB JOSHUA ameaga pia, alikua Mungu mtu? you are not an exception hata wewe mda wowote unaenda, haupo special sana
Kufa ni wajibu lakini!! Sikutegemea kumuona kiumbe aliyejifanya na kuwafanya wapambe wake wamuamini kuwa na yeye ni mungu!! Ana ondoka kizembe vile!!!yeye alikuwa special sana!!, unakumbuka kauli ya Rc, mwanri? Zile zilikuwa dhihaka!!
 
Yaani huyo jamaa amejua life span yake imefika yaani Malaika wa zamu wameshaanza kimpigia simu tujiandaeni taratibu tu tutaimba zile nyimbo za taraatibu ndio maana anasema 2023 huko mbali hafiki
 
Ukurasa wa Sabaya umefungwa Rasmi, sasa hivi tumeanza na majina mapya matatu , halafu yatafuatia matano

Back
Top Bottom