Nicole
JF-Expert Member
- Sep 7, 2012
- 4,274
- 2,523
- Thread starter
- #21
Kabisa fursa zipo mkoa wowote bt kuna ile mikoa ambayo bado watu hawajaexplore hizo fursa kwa hakika,so hzo ndo places za kutafuta mawe then warudi mjin kutesa
Fursa zipo popote. Ukienda mkoa wowote hapa Tanzania halafu usiwakute wachaga nakushauri uhame fasta. Hapafai hapo. Sawa Ciello?
Last edited by a moderator: