Muuzaji wa asali mbichi kutoka Tabora

Muuzaji wa asali mbichi kutoka Tabora

amani seif

New Member
Joined
Aug 8, 2023
Posts
1
Reaction score
2
Karibuni sana Tabora Pure Organic Honey! 🍯✨

Je, unatafuta asali halisi, safi, na ya asili isiyo na kemikali wala mchanganyiko wowote? Tuko hapa kwa ajili yako! 🐝

Tunasambaza asali bora kutoka katika misitu ya Tabora kwa ajili ya afya yako na familia yako.

📦 Huduma Zetu:
• Tunauza kwa Jumla tu! Kuanzia lita 5 na 20
• Tunasafirisha mikoa yote na nje ya nchi kwa uaminifu mkubwa!

💰 Bei:
• Lita 5 — 60,000 TSh
• Lita 20, dumu moja — 200,000 TSh
• Lita 20, dumu 5+ — 180,000–190,000 TSh

📲 Wasiliana Nasi / Agiza Sasa:
+255780997172 / +255615722928
 
Mimi niko US nataka dumu za lita 20 ishirini 10. Nazipataje.
Nalipa baada ya kupokea mzigo.
 
Wauzaji wa Asali barabara ya Tabora -Itigi siyo waungwana kabisa.
Kwenye chupa za asali lita moja ndani wanajaza unga wa Masega zaidi ya nusu lita halafu wanajazia asali robo lita huu upumbavu acheni.

Zamani tulikuwa tukinunua asali hiyo barabara unafika na asali safi lita nzima sasa hivi mnajaza uchafu na kuchanganya matakataka kisha mnatuuzia.
Acheni huu ujinga hela ni ngumu jamani!!!
Halafu mnachanganya vitu gani mbona asali imekuwa chachu kama imetiwa sukari guru ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom