Tabora kumebadilika jamani

Tabora kumebadilika jamani

Nevertheless Tabora or as know as Mboka manyema are an Tz historical place bt the government has forgotten that nice town!.
There are no paved roads to Tabora , which means few outsiders ever visit .
Government ndiyo ya kulaumu coz has done little to help Tabora develop economically.
Zao kuu la uchumi likabaki kua trains magari moshi , ambayo now dayz hayapo tena .
 
Mr Rocky ndo umeianza weekend ki hivi?
32406_439877366077666_1305638912_a.jpg

Dah!! naona amevumbua dhahabu za kutosha
 
Last edited by a moderator:
Treni ya abiria ipo bt tabora ni miongon mwa mikoa mikongwe hapa nchi sema govt imeusahau so sad
Nevertheless Tabora or as know as Mboka manyema are an Tz historical place bt the government has forgotten that nice town!.
There are no paved roads to Tabora , which means few outsiders ever visit .
Government ndiyo ya kulaumu coz has done little to help Tabora develop economically.
Zao kuu la uchumi likabaki kua trains magari moshi , ambayo now dayz hayapo tena .
 
..."hongera kwa wachaga u have changed tabora"![/QUOTE]

I'm proud to be a Chagga..
 
Treni ya abiria ipo bt tabora ni miongon mwa mikoa mikongwe hapa nchi sema govt imeusahau so sad

Eti kumbe gogo limeshaanza ! Sikua nikijua .
Ofcoz gvmnt wanajua how importance of that town , bt wameuvalia timbarglass !
Many missionaries have surveyed Tabora insisted on it's need for themselve , but unltimately they move elsewhere!!
 
Ha ha ha ha Abdala mwenye kisauti?Mwalimu wa G.S yule..akija kwetu anahakikisha kakata behewa moja Warsaw na Boys!basi we tutakuwa tumekutana sana Tukutuku na Joint Mass..Mama Kabigi yupo?na Shija je?Kajanja?ndo mana Ciello umestahili U-miss,we kipaji maalumu...loh u made my day!umenikumbusha mbaaali
Thanx mkuu,nilitaka kuja mchana kumsalimu headmaster wenu (bt sikupata chance),mr.Abdala alinifundisha GS form 5 and 6 Tabora girls pia alikuwa mwalimu wa transport so alinikatia tiketi za treni kipindi cha school holidays lol
 
Mkuu siku hizi adha za tukutuku na kariakoo zimebaki stori tu.From mwaka juzi maji ni ya uhakika T.S
 
chezeya wachaga weyeeeeeeee.........

Kuna investments kubwa za real estate zimefanyika tabora,nimepigwa butwaa,kuna mahotel mengi ya kifahari yamejengwa kama manchester,mwafrika,kuna lodges za ukwel,kumbi za starehe mpya ambazo sikuziacha tabora.tabora hotel hamna kitu imebak history.nimefanya karesearch kadogo wengi wa wawekezaji hao ni wachaga.kwel nimeamin alipo mchaga kuna maendeleo, lol
 
Ndiyo abdala kisauti kawa head wa boyzia,mama kabigi kashastaafu,walimu wengi wamekwenda kuwa wakuu wa shule kwenye shule za kata,joint mass nimehudhuria sana nilikuwa mwanakwaya,2ku2ku ndo usiseme those dayz lol
Ha ha ha ha Abdala mwenye kisauti?Mwalimu wa G.S yule..akija kwetu anahakikisha kakata behewa moja Warsaw na Boys!basi we tutakuwa tumekutana sana Tukutuku na Joint Mass..Mama Kabigi yupo?na Shija je?Kajanja?ndo mana Ciello umestahili U-miss,we kipaji maalumu...loh u made my day!umenikumbusha mbaaali
 
Ila mtakuwa mnakosa uhondo coz 2ku2ku ilikuwa meeting centre na iliwapa galzia chance ya kutoka nje ya skul kwani kabigi alikuwa anabana mpaka penati!
Mkuu siku hizi adha za tukutuku na kariakoo zimebaki stori tu.From mwaka juzi maji ni ya uhakika T.S
 
Dah!Tukutuku ndo ulikuwa utamu wa Tabora School...kama kwaya umeimba we Ciello wewe?ha ha ha ha ha Baba Paroko anahusika,Fr.Crombie na stori zake je?Doris Kavindi ndo alikuwa machachari,kina Pass,Mama Paroko...looh you rocked at those days
Ndiyo abdala kisauti kawa head wa boyzia,mama kabigi kashastaafu,walimu wengi wamekwenda kuwa wakuu wa shule kwenye shule za kata,joint mass nimehudhuria sana nilikuwa mwanakwaya,2ku2ku ndo usiseme those dayz lol
 
Kuna investments kubwa za real estate zimefanyika tabora,nimepigwa butwaa,kuna mahotel mengi ya kifahari yamejengwa kama manchester,mwafrika,kuna lodges za ukwel,kumbi za starehe mpya ambazo sikuziacha tabora.tabora hotel hamna kitu imebak history.nimefanya karesearch kadogo wengi wa wawekezaji hao ni wachaga.kwel nimeamin alipo mchaga kuna maendeleo, lol

Proudly chagga....
 
Thanx mkuu,nilitaka kuja mchana kumsalimu headmaster wenu (bt sikupata chance),mr.Abdala alinifundisha GS form 5 and 6 Tabora girls pia alikuwa mwalimu wa transport so alinikatia tiketi za treni kipindi cha school holidays lol

jamaan umenkumbusha mbali.Mwl Abdala cjuw yupo wapi. Gs nmekumbuka kuna mwembe rhoda, tukutuku,lol! Purukushani ya kuchaj simu! Dah kuoga nje mweh!
Wkend discusions na boizia! Madisco ya geloz na boizi,patam apo.
Cku hizi hotel kibao, ,wachaga wamepatakatisha kwel Tabora. Kwan wazawa zao vibarazan, Kujichubua uso,miguu coca na ushirikina(sio wote,msinimeze!)
 
Hapo kwenye kuoga nje ndo ilikuwa stail yangu hata saa 12 jioni nakumbuka siku moja mlinzi akatubamba,na disco vumbi nilikuwa neva mic lol those days, shosti Swts tulisoma wote nn ? Ww ulikuwa o level ama a level?

Back
Top Bottom