Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,986
- 5,708
tatizo tabora hutuna mwakilishi wa jf zaid ya dr mwenyewe
sikonge yuko wapi.............au yuko wilayani na kikao kiko mjini?
tatizo tabora hutuna mwakilishi wa jf zaid ya dr mwenyewe
Sio rahisi namna unavyofikiri! Atataja majina na kwa ulofa tu wengi wataona ni kweli.
<br />
<br />
Phd ya Ukweli?lakini ni ya canon law,yaani sheria za kidini.Kumbe hii ndiyo ukiipata ni ya ukweli?
Akimaliza kuwataja mafisadi, awataje na mafisadi viwembe vilevile!
Sio rahisi namna unavyofikiri! Atataja majina na kwa ulofa tu wengi wataona ni kweli.
Huyo slaa angeanza kutaja mafisadi waliyomo ndani ya chama chake! Hii kukimbilia kujitia anajua sana mambo ya CCM ni kutafuta ujiko usio na mshiko!
huna hata aibu............asingekuwa ni yeye mngeweza hata kuvua gamba hilo na kubaki na bukta?...........leo anaondoa bukta sasa............mtajibeba
Watu walimuambia huyu mzee, aende kwa wambulu wenzake wampe ubunge tena akataka mamilioni ya CDM sasa ameona umaarufu unamtupa mkona anaanza kuchanganyikiwa, nadhani anahitaji kanselingi kama mzee mrema.
Orodha ya Mwembe Yanga haikuambatana na credible actions. Naomba safari hii Dr. ukimaliza kuwataja uwaeleze waTz nini cha kuwafanya. Kama imechukua muda wa zaidi ya miaka 4 orodho ya awali kutofanyiwa kazi hata nusu, sasa lazima tupande viwango kidogo.
Napendekeza hatua za kisheria, nguvu ya umma (maandamano, migomo nk) viambatane na ushahidi wa watuhumiwa. Ben Ali wa Tunisia ana kesi muda huu, Mubarak nae ana la kujibu. Napendekeza kuwa na proactive- measures from the outset. Name and shame is not good enough now, done them.
Wewe hata useme lolote kuhusu Slaa hata kama ni la kweli hakuna atakayekujali, kisa Signature statement yako inajieleza.Watu walimuambia huyu mzee, aende kwa wambulu wenzake wampe ubunge tena akataka mamilioni ya CDM sasa ameona umaarufu unaanza kumtupa mkono anaanza kuchanganyikiwa, nadhani anahitaji kanselingi kama mzee mrema.