Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
Tuwekee picha rafiki yetu,na usisahau kutujuza yanayojiri huko
 
Ebana orodha ikitoka naomba mtuanikie humu mjengoni. Jf.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Turushie picha..na tunaomba uwe unatu update kwa matukio muhimu.
 
Tutafanya hivyohivyo kumpinga makinda the bogus wadau. Pipoz pawa
 
Endelea basi kutujuza kinachoendelea, pia weka picha mafisadi wazione.
 
CCM Kushotooooooooooooo geuka, CCM Nyumaaaaaaaaaa geuka, CCM Mbeleeeeeeeee Tembea. Duh wamekwisha hawa. Poleni sisiemu.

My take NAPE anamakengeza ya siasa za wakati huu.
 
Hii ni trick nzuri sana, inaweza kusababisho mvutano ndani ya Chama. Hao walioambiwa wajitoe wenyewe au Chama kiwatose, na wao kama Makamba watasema, kupitia media zao, tutoke wote ( pamoja na watakaotajwa leo). Na huu utakuwa mwanzo wa mwisho wa chama cha CCM.
 
Makinda a.k.a mama kiroboro nasikia naye yumo kwenye list ya Mafisadi
 
Hii ni trick nzuri sana, inaweza kusababisho mvutano ndani ya Chama. Hao walioambiwa wajitoe wenyewe au Chama kiwatose, na wao kama Makamba watasema, kupitia media zao, tutoke wote ( pamoja na watakaotajwa leo). Na huu utakuwa mwanzo wa mwisho wa chama cha CCM.
Sio rahisi namna unavyofikiri! Atataja majina na kwa ulofa tu wengi wataona ni kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom