Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
Malecela aisafisha CCM dhidi ya tuhuma za ufisadi

2009-01-12 10:34:05
Na Pendo Fundisha, Mbeya

Wakati Chama Cha Mapinduzi kinatuhumiwa kuhusika katika matukio ya ufisadi, Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama hicho Tanzania Bara, John Samwel Malecela, amekitetea chama chake dhidi ya tuhuma hizo.

Chama hicho kinaelekezwa tuhuma kwamba kilihusika katika uchotaji wa fedha kutoka Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kupitia Kampuni ya Kagoda Agriculture Limited, ambayo wamiliki wake hadi sasa hawajulikani.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa juzi jioni katika Hoteli ya Ifese Community Centre baada ya kuwasili kwa ajili ya kuiongezea nguvu timu ya kampeni za CCM za ubunge wa Mbeya Vijijini, Malecela alivitaka vyama vya upinzani kutokukihusisha CCM na tuhuma za ufisadi na rushwa, akisema kuwa hayo ni mapungufu na dosari za mtu mmoja mmoja na hazihusiani na Chama hicho. Hata hivyo,hakufafanua kauli yake.

Alisema katiba ya chama hicho inapiga vita mambo maovu na kwamba watu wote wanaojihusisha na vitendo viovu wachukuliwe hatua za kisheria kwa mujibu wa taratibu na sheria zilizopo.

Alisema kila palipo na viongozi lazima kuna dosari zinazoweza kujitokeza na kwamba dosari za mtu binafsi zisihusishwe na CCM, ambayo ipo mstari wa mbele kutekeleza ilani yake ya uchaguzi iliyolenga kuleta maendeleo kwa wananchi.

Aidha, Malecela alisema kuwa hata vyama vya upinzani ambavyo vimekuwa mstari wa mbele kukituhumu CCM, navyo vimekuwa vikikabiliwa na migogoro ambapo baadhi ya viongozi wake wamekuwa wakituhumiana kutumia vibaya fedha za vyama vyao.

Makamu Mwenyekiti huyo mstaafu amekuwa kada mwandamizi wa kwanza kukitetea chama chake dhidi ya tuhuma za ufisadi katika kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge wa Mbeya Vijijini.

Wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo Januari 4, Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Ali Hassan Mwinyi alikwepa kuzungumzia tuhuma za ufisadi dhidi ya CCM.

Hata viongozi wote waliohutubia, wakiwemo Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara, Pius Msekwa; Katibu Mkuu, Yusuf Makamba; Mbunge wa Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe na mgombea wa CCM, Mchungaji Jackson Mwanjale, hakuna aliyezungumzia chochote kuhusu ufisadi, ambao hivi sasa ndiyo ajenda kubwa nchini.

Kauli za kuitetea CCM dhidi ya ufisadi hususan tuhuma za uhusiano wa CCM na Kagoda katika uchotaji wa fedha za EPA, zimekuwa zikitolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Kapteni John Chiligati.

Malecela alisema amekwenda Mbeya Vijijini kwa ajili ya kusaidia kampeni za kumnadi Mchungaji Mwanjale, lakini akaongeza kuwa wenye jukumu la kufanya kampeni ni kamati ya siasa ya Wilaya ya Mbeya.

Kweli za mwizi ni arobaini !

Mkuu William, nadhani kufikia hapa, lazima tukubali yaishe, mimi binafsi nakubaliana na wewe, sio busara kumuita kila mwana CCM fisadi, simply because kuna wana CCM mafisadi ambao wameifisadisisha CCM
Mzee Malecela namfahamu kwa kina, at one time or another, nimetokea kusoma shule moja na wanae 4 at diferrent times tangu primary mpaka UD hivyo namfahamu at heart, sio fisadi, ila hawezi kukwepa collective resiponsibility kama ilivyo kwa mzazi kuwajibika kwa makosa ya mtoto wake.

NB. Nimefurahi kukuona ukirudi in full swing kwenye issue hii, nakuomba isiwe hii tuu, tuendeleze mapambano, safari bado ni ndefu. Pia tusiogope kutofautiana na marafiki zetu au hata kugombana kwa jambo ambalo mtakuja kupatana. Naamini Watanzania wote wenye nia njema na Taifa hili, wanauchukia ufisadi kwa dhati toka ndani ya mioyo yao, hivyo ukisikia wale tunaowaaminia nao kujumlishwa kwenye listi ya mafisadi, ni lazima tuwatetee kwa nguvu zetu zote!.

Pasco.

- Brother, Mzee siku zote anasema hivi ni haki ya wananchi kumtukana kwa sababu ni politician na huwa anatuasa sana kutokujibu, lakini binafsi sina wasi wasi naye hata chembe moja kwamba sio fisadi, ndio maana na mimi kama wewe ninaamini sana in the Truth hata kama kuna costs lakini unakuwa free, katika mijadala kama hii unachoweza kufanya ni kweka the doubt tu lakini huwezi kuwa-convince wananchi wote hasa wa hili taifa ambao tumezoea siasa za mabomu, zilizomfikisha Mrema alipo sasa!

- With all due respect ninasema hivi Dr. Slaa, afike mahali aambiwe na Chadema, kwamba enough na hizi siasa za kulipua mabomu na kuwepo kwenye media kila siku na ishus ambazo ni hadithi za mitaani zaidi kuliko faida yoyote kwa taifa, Mangula unawezaje kusema ni fisadi? I mean it does not make any sense, anachotaka Slaa ni kuendelea kusikika kwenye media na kujibizana na wasiomuelewa vizuri, huwezi kukisaidia chama chako cha siasa na habari ambazo huwezi kuthibitisha kisheria, ndio maana Marehemu Kambona aliishia kuanguka vibaya sana kisiasa aliposema Mwalimu na Kawawa ni mafisadi, yes it made a big headlines kwenye media, ila in the end ikammaliza kabisaa Kambona kisiasa.

- Otherwise, muda wangu siku hizi ni mdogo sana na JF imepanika sana sasa sio kama zamani sio rahisi ku-catchup na ishus zote hapa, ndio maana huwa tunachangua chagua, heshima yako sana ndugu yangu kwa debate ya kistaarabu na kufikia kwenye conclusion bila matusi na kejeli zisizo na tija wka taifa, UBARIKIWE SANA NITAKAPO KUJA TENA BONGO TUONANE MKUU, NILIKUWA HAPO BUNGENI LAST JUNE KWENYE BAJETI, NITAKUJA TENA SOON MAANA NINATAKA KUTAFUTA JIMBO YOU KNOW!

William @ NYC, USA.
 
Hana jipya.... Ana sera alikua wapi wakati nyumba za serikali zinapigwa mnada leo hii ndio aje kupiga kelele magufuli fisadi,kwanini hakumwambia raisi aliyekua madarakani benyamini mkapa kwamba anauza nyumba au kwasababu mkristo mwenzie wanaghasi kikwete wa watu bila sababu ,ukiangalia iyo listi mafisadi wote ni wa awamu ya tatu mbona hawakupiga kelele?mkiambiwa chadema ni wadini na wakabila mtakataaa?mbona hawamtaji mchaga mwenzao mama mkapa,...slaa mwehu kabisa
 
- Hamna jipya hapa zaidi ya kwamba eti kwa vile CCM imewahi kupokea hela chafu basi viongozi wote wa CCm ni mafisadi ndipo ninapouliza zile hela za Chadema toka kwa Tony Blair alizopewa na Gadafi kumsafisha na yale mauaji ya wananchi wa marekani 350 kwenye ile ndege aliyoibomu kule Lockerbee, unasema ni safi? Sasa kwa vile Chadema wanazipokea zile hela unasema na wao wana damu ya wale wananchi 350 waliokufa kwa kuuliwa na Gadafi?

- It does not make a sense at all!

William @ NYC, USA.

We ukae ughaibuni na bado usistaarabike ndo nini tena jamani?
 
Nakubaliana na wewe mkuu.

Kwa mtu anayemfahamu Mzee Mangula na hali yake ya kiuchumi atamshangaa sana Dr. Slaa kumtaja kama fisadi "nyangumi", naona sasa Dr.Slaa anatajataja tu majina kama wanamuziki wa Bongo Flavour.

Alishiriki kuvuta mshiko kwa ajiri ya kampeni ya zzm. na kama hakujiggawia basi hatuangalii hayo sisi. ni mzee mwaminifu sana na alifanya kwa ajiri ya chama chake. tumuweke kundi lipi? kwani wewe mkuu ukivuta ukapelekea rafiki yako zote na usibaki na hata senti moja ndo unakuwa hukuiba au?
 
- Brother, Mzee siku zote anasema hivi ni haki ya wananchi kumtukana kwa sababu ni politician na huwa anatuasa sana kutokujibu, lakini binafsi sina wasi wasi naye hata chembe moja kwamba sio fisadi, ndio maana na mimi kama wewe ninaamini sana in the Truth hata kama kuna costs lakini unakuwa free, katika mijadala kama hii unachoweza kufanya ni kweka the doubt tu lakini huwezi kuwa-convince wananchi wote hasa wa hili taifa ambao tumezoea siasa za mabomu, zilizomfikisha Mrema alipo sasa!

- With all due respect ninasema hivi Dr. Slaa, afike mahali aambiwe na Chadema, kwamba enough na hizi siasa za kulipua mabomu na kuwepo kwenye media kila siku na ishus ambazo ni hadithi za mitaani zaidi kuliko faida yoyote kwa taifa, Mangula unawezaje kusema ni fisadi? I mean it does not make any sense, anachotaka Slaa ni kuendelea kusikika kwenye media na kujibizana na wasiomuelewa vizuri, huwezi kukisaidia chama chako cha siasa na habari ambazo huwezi kuthibitisha kisheria, ndio maana Marehemu Kambona aliishia kuanguka vibaya sana kisiasa aliposema Mwalimu na Kawawa ni mafisadi, yes it made a big headlines kwenye media, ila in the end ikammaliza kabisaa Kambona kisiasa.

- Otherwise, muda wangu siku hizi ni mdogo sana na JF imepanika sana sasa sio kama zamani sio rahisi ku-catchup na ishus zote hapa, ndio maana huwa tunachangua chagua, heshima yako sana ndugu yangu kwa debate ya kistaarabu na kufikia kwenye conclusion bila matusi na kejeli zisizo na tija wka taifa, UBARIKIWE SANA NITAKAPO KUJA TENA BONGO TUONANE MKUU, NILIKUWA HAPO BUNGENI LAST JUNE KWENYE BAJETI, NITAKUJA TENA SOON MAANA NINATAKA KUTAFUTA JIMBO YOU KNOW!

William @ NYC, USA.

Wananchi wengi hatujasahau kwamba Mwalimu Nyerere alitunga Kitabu kumsema Waziri Mkuu Malecela na Raisi Mwinyi,wakati ule walipoachia Ikulu ikawa sebure ya wafanya biashara haswa wenye asili ya Kihindi,lakini vilevile tunajua Mzee Male sio Fisadi kihivyo,Lakini alikuwa Makamu mwnyekiti wa CCM kwa kipindi cha miaka kumi kwa hiyo alijua michoro yote ya uporaji wa fedha
za EPA kutokana na nafasi yake ni vizuri wananchi wakajua kwamba na yeye akisaidia wengine kuwa mafisadi hata kama yeye si Fisadi

Kutoa mabomu kumesaidia kwa kiwango fulani kwa kutafuta njia za kujikwamua utasemaje Mabomu ya Dr Slaa ni sawa na Mrema ,wakati CCM munaimba wimbo huo huo wakuwapa siku 90 mafisadi waondoke kwenye chama,Kama sio mabomu imekuwaje sekretariati ikalazimishwa kujiuzuru,imetokea wapi mivugano kati ya waliotajwa mafisadi na hao wanaojiita masafisha ufisadi,kampeni zimeanza TBC ya kupiga mapambio ya kujivua magamba ili wananchi tuone kwamba CCM wanapiga vita ya Mafisadi nadhani uko kwenye denial ni jambo la kawaida hakuna mtoto atakayekubali mzazi wake awe na kashfa
 
- Brother, Mzee siku zote anasema hivi ni haki ya wananchi kumtukana kwa sababu ni politician na huwa anatuasa sana kutokujibu, lakini binafsi sina wasi wasi naye hata chembe moja kwamba sio fisadi, ndio maana na mimi kama wewe ninaamini sana in the Truth hata kama kuna costs lakini unakuwa free, katika mijadala kama hii unachoweza kufanya ni kweka the doubt tu lakini huwezi kuwa-convince wananchi wote hasa wa hili taifa ambao tumezoea siasa za mabomu, zilizomfikisha Mrema alipo sasa!

- With all due respect ninasema hivi Dr. Slaa, afike mahali aambiwe na Chadema, kwamba enough na hizi siasa za kulipua mabomu na kuwepo kwenye media kila siku na ishus ambazo ni hadithi za mitaani zaidi kuliko faida yoyote kwa taifa, Mangula unawezaje kusema ni fisadi? I mean it does not make any sense, anachotaka Slaa ni kuendelea kusikika kwenye media na kujibizana na wasiomuelewa vizuri, huwezi kukisaidia chama chako cha siasa na habari ambazo huwezi kuthibitisha kisheria, ndio maana Marehemu Kambona aliishia kuanguka vibaya sana kisiasa aliposema Mwalimu na Kawawa ni mafisadi, yes it made a big headlines kwenye media, ila in the end ikammaliza kabisaa Kambona kisiasa.

- Otherwise, muda wangu siku hizi ni mdogo sana na JF imepanika sana sasa sio kama zamani sio rahisi ku-catchup na ishus zote hapa, ndio maana huwa tunachangua chagua, heshima yako sana ndugu yangu kwa debate ya kistaarabu na kufikia kwenye conclusion bila matusi na kejeli zisizo na tija wka taifa, UBARIKIWE SANA NITAKAPO KUJA TENA BONGO TUONANE MKUU, NILIKUWA HAPO BUNGENI LAST JUNE KWENYE BAJETI, NITAKUJA TENA SOON MAANA NINATAKA KUTAFUTA JIMBO YOU KNOW!

William @ NYC, USA.

William,

Hapo awali umesema mzee Malecela amestaafu siasa lakini bado anaonekana kwenye majukwaa ya siasa na juzi ndo alikuwa mbeya kumpokea mamluki Sambwene Shitambala, sasa siasa amestaafu vipi?

Pili strategically, chama cha siasa kinaweza kutumia nafasi yeyote kuendelea kukibomoa chama pinzani kwa mtazamo wa kawaida list mpya ya mafisadi ni nyongeza ya changamoto kwa ccm, kwani mafisadi wanaotaka toswa hawawezi kukubali kutoswa bila ushahidi kama mlivyo dai awali kwenye list ya mwembe yanga. Sasa kama ccm bado hawana ushahidi wa kuwatosa RA, CHENGE na LOWASA kwa nini wawape siku 90? kama ushahidi wanao kwa nini wasiwapeleke mahakamani kama kweli wana nia ya dhati?

Kwa utaratibu huo huo na standard hizo hizo za ccm kujivua gamba, Malecela na wenzake wapewe nao siku 90 kujivua uana chama,
 
- Brother, Mzee siku zote anasema hivi ni haki ya wananchi kumtukana kwa sababu ni politician na huwa anatuasa sana kutokujibu, lakini binafsi sina wasi wasi naye hata chembe moja kwamba sio fisadi, ndio maana na mimi kama wewe ninaamini sana in the Truth hata kama kuna costs lakini unakuwa free, katika mijadala kama hii unachoweza kufanya ni kweka the doubt tu lakini huwezi kuwa-convince wananchi wote hasa wa hili taifa ambao tumezoea siasa za mabomu, zilizomfikisha Mrema alipo sasa!

- With all due respect ninasema hivi Dr. Slaa, afike mahali aambiwe na Chadema, kwamba enough na hizi siasa za kulipua mabomu na kuwepo kwenye media kila siku na ishus ambazo ni hadithi za mitaani zaidi kuliko faida yoyote kwa taifa, Mangula unawezaje kusema ni fisadi? I mean it does not make any sense, anachotaka Slaa ni kuendelea kusikika kwenye media na kujibizana na wasiomuelewa vizuri, huwezi kukisaidia chama chako cha siasa na habari ambazo huwezi kuthibitisha kisheria, ndio maana Marehemu Kambona aliishia kuanguka vibaya sana kisiasa aliposema Mwalimu na Kawawa ni mafisadi, yes it made a big headlines kwenye media, ila in the end ikammaliza kabisaa Kambona kisiasa.

- Otherwise, muda wangu siku hizi ni mdogo sana na JF imepanika sana sasa sio kama zamani sio rahisi ku-catchup na ishus zote hapa, ndio maana huwa tunachangua chagua, heshima yako sana ndugu yangu kwa debate ya kistaarabu na kufikia kwenye conclusion bila matusi na kejeli zisizo na tija wka taifa, UBARIKIWE SANA NITAKAPO KUJA TENA BONGO TUONANE MKUU, NILIKUWA HAPO BUNGENI LAST JUNE KWENYE BAJETI, NITAKUJA TENA SOON MAANA NINATAKA KUTAFUTA JIMBO YOU KNOW!

William @ NYC, USA.

William, most welcome, pamoja sana.
 
Wazubutu !!!! CHADEMA OOOOOOYYYYYYEEEEEE !!!! DR. WA Ph.D akose kamwe. Tuna sema JK anyatuke kwenyewe kabla Umma ajachukua mkondo wake. Kumbe ndio maana alikuwa kimya. We want Justice to prevail. Wote MAFISADI lazima waende mbele ya sheria bila kuonane haya.

ATUTAKUBALI MPAKA KIELEWEKE. Aisee CCM is stinking bad smell ubearable for human consumption. Ndio maana pia poti amesema Anna Kilango ni GOLD DIGER now I get the point ---- MAMA MPORTUNIST MFISADI. Duuuuh Aisee nimeishiwa nguvu. Hawa wanatakiwa kunyongwa kabisa kwa sababu wana sumu kali.
 
Mhesmiwa William Malecela,
Nakumbuka kuna wakati Nyerere alisema hawezi kukubali John Malecela kuwa raisi wa Tanzania kwani alikuwa amenunuliwa na mataifa ya nje kuuza nchi. Na wakati ule alishiriki vilivyo kuifisadi nchi pale ikulu akisaidiana na wenzeka wengi.

John Malecela anautajiri mwingi, na unadhihirka pale Yeye na Mkewe wanapokuwa wanatumia mamilioni ya shilingi kubakia kwenye siasa. Swali rahisi je utajiri wa John unatokana na kazi alizofanya au ana biashara nyingine?

Vilevile kwa sababu kuitwa fisadi ni tuhuma nzito na kama kweli mtu ni msafi hawezi kuogopa mahakama ni wakati mzuri yeye na Mangula, Magufuli na wengine waende mahakamani. La sivyo mtabisha weeee mwisho tutasikia nao wanatoswa kwenye chama chao kwani ngoma imewashinda kutetea.

Nendeni mahakamani kumsafisha baba yenu, la sivyo Malecela ni Fisadi na ninyi watoto wake mnakula fedha haramu za watanzania. Kila Mtanzania anayekufa kwa kukosa huduma za jamii damu yake inawalilia mpaka mwisho wa maisha yenu kwa wizi wa wazazi wenu.
 
kula chips mayai hotelini,watoto nyumbani wameshindia ugali na majani ya maboga ni UFISADI

Point home boy...
Lakini wakati mwingine baba ni lazima ale vizuri ili kupata nguvu ya kutafuta zaidi kwa ajili ya familia
 
Wanaweza kutukana,kukashifu na kuidharau JF lakini kwa analysis kama hii ni ushuhuda tosha kuwa mahala hapa ni patakatifu zaidi ya Ikulu ya Kikwete.

Yani kuna wazalendo wanaangalia mambo katika angle ambazo inahitaji upeo wa hali ya juu sana kufikiria huko.Mkuu umeniamsha sana katika analysis hii.

Kwa hakika Chadema wanaangalia mbali sana.Kuibua orodha hii mpya kutazua sokomoko la kufa mtu ndani ya CCM.Itakuwa ni atacks,counterattack na mbinde nyingine kama hizo.

Excellent analysis mkuu.You truly are a SUPERMAN

Respect Mkuu. Tuko pamoja sana.

Na elewa kuwa Mstaafu Mzee malecela ni Mjumbe wa kudumu CC na NEC ya CCM.

Same to Mstaafu Mkapa.

I think could be similar to Mstaafu Sumaye na bado anaingia katika listi ya wazee/washauri wa Chama.

Inataka hekima ya hali ya juu sana kuhandle concept yao ya "Kujivua Gamba".

Kama kuna mtu angweza vema kui-handle alikuwa ni Mwalimu tu! I am sure angewafukuza wengi katika Chama.

Respect.

QED
 
Naomba kujuzwa kiongozi gani wa Tanzania ambaye ni msafi?jana Slaa ametaja orodha mpya ya mafisadi ila nakumbuka kuna wakati fulani Slaa nae alishatajwa ktk kashfa ya ufisadi akiwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu,mbowe nae ameshalaumiwa ku2mia fedha za chama kwa matumizi yake binafsi,zitto nae ndo huyo anashutumiwa kila mara kuwa kambi ya mafisadi wa ccm[/QUO

Sijakuelewa SENIOR MEMBER, Hebu nisaidie mie SENIOR EXPERT MEMBER

hivi ukiwa senior expert member ndio unakuwa una uelewa mpana zaidi? Au uswe unamaanisha nini unavyotaja hizo level za membership? Kuna watu humu ni senior expert member but ukiona coments zke junior ana nafuu. Changia hoja na sio kurukia kwenye membership level
 
Nyangomboli,

Ndiyo maana kwa watu wanaoangalia tu haraka haraka si rahisi kuelewa na wanavutika na "kuvua Gamba". The Ufisadi issue is much deeper than most people understand. Ukisema hawa wazere hawana kitu ni "safi" basi ni vema mkatueleza Vijinoti "messages" za hawa wazee zilizotoa fedha kwa Balali zilikuwa za nini. Kama mtu haelewi kitu si vema kujitumbukiza kwa utetezi. Kumbukeni nilishaambiwa "nitapelekwa mhakamani" hjadi leo hakuna badala yake wao ndio wako mahakamani japo ni cosmetic tu.

Niliambiwa "nisali" nina dakika chache za kuishi. Nadunda hadi leo lakini mastokeo wao wenyewe wamepeana siku 90 za kujiondoa kwenye uongozi. Ndugu zangu wengi wanajadili kwa ushabiki. Kama mtu haelewi mtuachie tunaoelewa undani na tulio na ushahidi wa kina. Wala usituambie tuweke hapa, kuna mahali tukitakiwa tutapeleka lakini si jamvini na sababu zinajulikana. Ila ieleweke,

i) Wenzetu wanavua Gamba ndani ya CCM. Lakini fedha zilizoibiwa ni za CCM hivyo siyo issue ya CCM tu. Consequences za kuvua Gamba lazima ziende nje ya CCM i.e. kama ni mbunge ajivue, kama ni kiongozi serikalini ajivue.

ii) Watanzania ndio tulioibiwa, hivyo mtu asiojaribu kamwe kutufunga mdomo. Tulianzisha ngoma hii tutaicheza hadi mwisho, nchi itakaporudi kwenye njia sahihi. Wanaoogopa mchezo huu wakae mbali. Lakini Watanzania wasio na hofu na wenye uchungu na nchi yetu kamwe hatutanyamazishwa na yeyote yule, wala na kitendo cha CCM kujivua Gamba.

Asilani, wamekubali sasa wenyewe wanaimba "wimbo wetu" mchezo ndio umefika patamu.
 
Naomba kujuzwa kiongozi gani wa Tanzania ambaye ni msafi?jana Slaa ametaja orodha mpya ya mafisadi ila nakumbuka kuna wakati fulani Slaa nae alishatajwa ktk kashfa ya ufisadi akiwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu,mbowe nae ameshalaumiwa ku2mia fedha za chama kwa matumizi yake binafsi,zitto nae ndo huyo anashutumiwa kila mara kuwa kambi ya mafisadi wa ccm[/QUO

Sijakuelewa SENIOR MEMBER, Hebu nisaidie mie SENIOR EXPERT MEMBER
Haimanishi seniority kuwa ndiyo inayoamuwa ufahamu. Baki na U expert wako! Suwala liko wazi kabisa hapo kuwa Tanzania hii ni kiongozi yupi alie msafi? Kama unae unaemjuwa basi tumwagie tu ukumbini.
 
Tarehe 17 April watu walielekeza masikio yao mkoani Tabora wakisubiri list ya mafisadi itakoyo somwa na Dr Slaa(Padri Mstaafu) ambaye ni Katibu Mkuu wa Chadema anae lipwa 12 Milioni kwa Mwezi. Padri Mstaafu pasipo kujua nyakati akamtaja Dr Magufuli kuwa ni fisadi! Tofauti na matarajio yake na CDM mwitikio wa jamii juu ya Magufuli nae ajulikane kama Fisadi imekua ngumu kuingia akilini kwa Watanzania! Kinacho zungumzwa na wadadisi wa mambo ni mbinu ya Dr Slaa kuanza kumchafua Magufuli kwani ni Mwanasiasa anaekubalika kwa sasa na Watanzania! Dr Slaa siasa inatakiwa kujipanga zaidi kwa hili la Magufuli haliingii akilini kwa Watanzania!
 
Jamani, mbona hatuelewani vema hapa???

Watanzania GAMBA letu linalonyima nafasi ngozi za miili yetu kupumua na kung'ara ni CCM. Hivyo, maadam Jakaya Mrisho Kikwete aonekana kulitambua hilo na hata kujichukulia hatua ya kuficha baadhi ya magamba yasijitokezesaana machoni mwetu, Vijana sisi sasa kazi yetu ni kumalizia kabisa kukwangua na kulitupilia mbali kabisa hili gamba nyonyezi liitwalo CCM.

Maadam janja zao za kutugawa kidini, kikanda na kikabila ndio hivyo tayari tumeshayajua, ni jukumu letu kuungana pamoja ili tuwe na nguvu zaidi kujipangia aina ya maisha ambayo tungependa kuishi sasa na baadaye BILA CCM.

Ndugu zangu Watanzania, Maisha bila Gamba na ukurutu CCM yawezekana kabisa. Tuchukue hatua zaidi kuhakikisha kunapatikana KATIBA ya Walalahoi bila udalali.

Mpaka sasa hivi bado sijaona kilichofanyika kuhusu tuhuma za ufisadi, ina maana wale waliojiuzulu toka sekretarieti ndio mafisadi? mbona mi siwaelewi, na je kujiuzulu ndio kuchukuliwa hatua? Kama ni mafisadi kwanini hawashtakiwi?
 
Endapo kweli ni siasa za majitaka basi nitarajie kumuona huyo malaika wako akituita mahakamani ndani ya siku 7 tangu hivi leo. Endapo utaona hilo halijatokea basi, kiungwana kabisa, uje hapa hapa JF kutuomba radhi katika kupitiwa na kudiriki kutetea uozo.

Chonde wala usikose kufanya hivyo ifikapo April 25, 2011 bila Magufuli kwenda mahakamani.
 
Pateni uhondo wa habari hii ikiwa bado ya moto usiku huu huu kabla haijapakuliwa mitaani kesho asubuhi wana JF

Source Mwananchi Jtatu 18 April 2011

Dr Slaa ampa JK siku 90 kudhihirisha mafisadi wengine

Na Godfrey Nyang'oro, Urambo
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amemtaka Rais Jakaya Kikwete awataje watuhumiwa wa ufisadi na kisha kuwavua nyadhifa zao zote na kisha kuwafikisha mahakamani katika muda wa siku 90 kama kweli anataka kukivua gamba chama hicho.

Kauli hiyo ya Chadema kwa Rais Kikwete imekuja siku chache baada ya CCM kuchukua hatua katika kile ilichokiita kujivua magamba kwa kuwataka watuhumiwa wote wanaotajwa kuhusika katika kashfa kadhaa za ufisadi, kujiondoa wenyewe katika nafasi zao ndani ya chama hicho katika kipindi cha miezi mitatu vinginevyo watawajibishwa.

Jana, akiwa kwenye Uwanja wa Kaliua, Urambo Magharibi, Dk Slaa alisema kama kweli Rais Kikwete amedhamiria kukivua gamba chama chake, anapaswa kuuthibitishia umma kwa kufanya hivyo vinginevyo itakuwa ni ‘usanii.’

Kwa mujibu wa Dk Slaa, endapo watuhumiwa hao watatajwa na kuchukuliwa hatua ikiwamo kuvuliwa nafasi zao na uanachama na kupoteza ubunge au kufukuzwa serikalini, dhana hiyo ya kujivua gamba itakuwa na mantiki.

Dk Slaa alisema, Watanzania wanataka kuona fedha zao zilizoibwa na mafisadi zinarejeshwa na watuhumiwa kufikishwa mahakamani, hivyo haitoshi kusema neno kujivua gamba.

Mwanachama mwingine maarufu wa Chadema, Frederick Mpendazoe ambaye aligombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho, Jimbo la Segerea katika Uchaguzi Mkuu uliopita, alisema endapo CCM kitashughulikia watuhumiwa hao wa ufisadi ndani ya siku 90 ni dhahiri kutafanyika uchaguzi kutokana na kile alichodai kwamba ni kuwa na wabunge wengi waliingia madarakani kwa njia ya rushwa.

Alidai kwamba CCM imepoteza mwelekeo kutokana na kuhodhiwa na watu wenye malengo ya kibiashara ambao huchochea ufisadi unaokigharimu sasa.

Mpendazoe ambaye aliwahi kuwa kada wa chama hicho tawala alisema miaka ya nyuma wakati wa Mwalimu Julius Nyerere, CCM kilikuwa madhubuti kutokana na kuwa na viongozi waliokuwa tayari kupambana na rushwa na ukosefu wa maadili ya uongozi, hali ambayo ni tofauti kwa sasa.

Mpendazoe ambaye alijiondoa CCM kutokana na kile alichodai kuwa ni fitina za mafisadi alisema uongozi ndani ya chama hicho tawala kwa sasa ni uwekezaji akisema asiye na fedha ni vigumu kupata uongozi.

Alisema kutokana hali hiyo, hata ile misingi ya waasisi iliyojengwa katika miaka ya 1960 na 1970 imebomolewa na mafisadi kushika hatamu za uongozi wa chama hicho tawala.

Mpendazoe alisema Serikali iliyopo ni ya kidemokrasia lakini imekuwa ikiyapa kisogo matatizo ya wananchi wa tabaka la chini na kukumbatia wafanyabiashara ambao wana nguvu ndani ya chama hicho.

Kuhusu muswada wa Sheria ya Marejeo ya Katiba, alisema hadi sasa serikali imeuondoa muswada huo bila kuweka mambo wazi na kuonya kama ukirejea kama ulivyo na tume ikiundwa na rais chama hicho kitaandamana.

NB: Leo Jumatatu Dr Slaa na CDM team watakuwa Nzega na Igunga, then Jnne watashambulia Bukombe. Sina hakika kama watakwenda lini Sikonge.:hug:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom