Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
Nimeona kuna thread ya dr slaa kutaja list ya mafisadi hebu amieni huko naona hapa hamna ki2
 
Hivi Tabora ni ngome ya chama gani? CCM au swahiba wao CUF? Watu wa TBR hawana mwamko kabisa -- kwanza wakati wa uchaguzi waliyumnbishwa na mahela ya siku moja tu na mkoa ukachagua Wahindi kibau kuwa Wabunge -- hadi wengine vikao vya juu vya CCM viliwatema!

mwanzo ilikuwa ngome ya Cuf lakini siku hizi wamepoteza na CCM ndo wapo nao wapo wanaziba tu nafasi ...kwa vile CDM haikuwepo basi watu wakawa hawana pa kukimbilia lakini ujio wa CDM sasa ndo hvyo tena CUF na CCM hawana chao tena coz people were very desparate,..ndo hvyo mkuu
 
jamaa wamekuwa kimya kweli..............wamekata mtandao au moderm zimeishiwa mafuta?
 
Mcjali wana JF Nitawajuza yanayojili,DK Bado ila marando ndo ana wachana,anazungumzia epa uwanja umejaa now waandishi watawaletea picha mtaona
 
unataka kupigwa bao ..... ha haaaaaa kweli umeshiba pilau

Mimi mwanaume, viongozi wa CDM wanapiga bao wanaume? du ukiongeza na akina josephine na bhanji unapata tabia zenu.
 
kimya wakuu.... au nondo zinashushwa mpaka mnakosa mda wa kuandika kwa kutaka kusikiliza kwa umakini? tupeni mambo japo dondoo
 
Ikiwa tunangoja ccm watimize ahadi yao ili sisi wananchi tuone nani fisadi, wavukazane ndani ya chama tutoke kwenye kucha ya mafisadi. dk slaa huyo kutochanganya.
Hana uvumilivu, subira hili linatufanya tuanze kuamini uwezo wake wa kuongozataifa kubwa tz likawa salama. kauli ya Msajili wa vyama vya siasa kuhusu dk slaa inaanza kuonekana
hekima ni kitu muhimu, subira ni muhimu pia.

Hekima ni ipi, kuficha ufisadi au kuufichua?
 
Hapa kweli upupu mtupu! Sion update yoyote ya maana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom