Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
Na bado mtahangaika sana! Moto wa CdM siwa kitoto. Jichubueni na gonzi kabisa maana magamba yamesha chakaa.
 
There are currently 132 users browsing this thread. (52 members and 80 guests)
Narubongo kapotolo Chakaza Ivuga kuruti Short white Coutinho Don T KiparaDar Miss Judith tzjamani Mwita25 msaragambo Shalom Limbani OPTIMISTIC Rweye Katavi Wambandwa commonmwananchi Yetu Macho raybse Edson liverpoolfc TwendeSasa Gagnija ndaru kitungi Paka_Shume jogi Kishongo walonge Tofty kabila01 Rejao Frank kapama Lyceum STEIN Marehemu Aman Mlangaja Yusuphsabury Dio Miya Ronal Reagan Advocate Jasha Mpiga Nyoka Fasta fasta namboyo BRUCE LEE forty Elli

kwenye nyekundu yanagonga yana...di, yanagonga yana...di

mkuu... wanachungulia na darubini
 
There are currently 132 users browsing this thread. (52 members and 80 guests)
Narubongo kapotolo Chakaza Ivuga kuruti Short white Coutinho Don T KiparaDar Miss Judith tzjamani Mwita25 msaragambo Shalom Limbani OPTIMISTIC Rweye Katavi Wambandwa commonmwananchi Yetu Macho raybse Edson liverpoolfc TwendeSasa Gagnija ndaru kitungi Paka_Shume jogi Kishongo walonge Tofty kabila01 Rejao Frank kapama Lyceum STEIN Marehemu Aman Mlangaja Yusuphsabury Dio Miya Ronal Reagan Advocate Jasha Mpiga Nyoka Fasta fasta namboyo BRUCE LEE forty Elli

kwenye nyekundu yanagonga yana...di, yanagonga yana...di
Ahahahahaaah!!! Unamaanisha anahofu kuwa atakuwepo kwenye listi ya mafisadi?
 
Katika orodha ya MY ya 2007 yule aliyekuwa golikipa -- DB -- alishakufa -- inasemekana. Kwa hiyo orodha itabadilika kidogo. Hivi yule hatari kwa mabao ya ufisadi -- winga wa kushoto -- Na 11 -- JMK safari hii atapangwa position gani?
 
Sasa kaingia Prof.Safari na ameanza kwa kuzungumzia uuzwaji wa nyumba za serikali na anasema waliouza sio waliojenga , na anataja maeneo mbalimbali zilikojengwa nyumba hizo .

Anauliza je Nyerere aliyejenga angesema kuwa agawane na wakina Kawawa wao Mkapa wangezikuta?

Anasema mzee ruksa angeamua kutoa ruksa wangezikuta?
Anasema kuwa majaji wanakaa hotelini , na gharama ni kubwa sana ,
katika kitu mkapa na magufuli waliboronga ni kuuza nyumba za govt,tena wakazikarabati kwa bei juu na kuziuza bei ya chini,mimi sijawaelewa mpaka leo.unauza nyumba ya station master wa reli halafu station master mpya akakae bunju?
 
2peni angalau picha moja ya hao MAKAMANDA WA CDM walivyo ktk hali ya ukombozi wa MTANZANIA ndg zangu.
 
Tuhabarishini tafadhali. Kamanda safari na Marando wamekandamizia wapi? Najua safari lazma awabamize knye nyumba za serikali, hajazungumzia mahakama ya kadhi?

Tujuzeni tafadhali
 
Uwanja unaojulikana kama uwanja wa vita umefurika watu wote wakiwa na shahuku ya kutaka kujua nani na nani watajiunga katika orodha mpya ya mafisadi na ufisadi waliofanya.
Vijana wazee akinamama na watoto wote wapo hapa wakimsubiri mh dr slaa ili awajuze tayari uwanja umeshajaa na kinacho enderea kwa sasa ni wasanii kuimba nyimbo za uhamisishaji na vijana wa chuo kikuu cha saut tawi la tabora ambao hivi karibuni wamefungua tawi la chadema chuoni hapo wamekusanyika wote wakiwa wamevaliia gwanda za kaki nakuonyesha mshikamano wa hari ya juu. Nashindwa kuweka picha kutokana na ufinyu wa taaluma ya it lakini nikifanikiwa nitawawekea.

jamani tunaomba picha ili tuone nini kinaendelea naomba unayetujuza ubandike picha
 
Mwaka ule 2007 baada ya Dr WS kutangaza orodha ile -- hakuna gazeti lililotoa orodha ile yenyewe katika uhalisia wake isipokuwa gazeti moja tu la Mwanaume wa shoka -- MwanaHALISi.

Tuone safari hii.
 
Pamoja na kutaja list mpya,yeyote aliye karibu na Dr amkumbushe kuwaeleza watu wa Tabora wale wabunge wao waliowachagua hawana kazi nyingine wanayofanya ila kuzomea wale wanaoleta hoja za ukombozi wa Mtanzania. Jee ndicho walicho watuma?
 
Mjepu said:
Kushinda zile umati zilizokuwepo kabla ya tar 31 oct? apo Tbr alisukumwa Mrema kutoka airport hadi uwanja wa chipukizi kama 8kms hivi, hapohapo akaanza kutangaza baraza lake la mawaziri kilicofuata ni historia.


wahi pilau lipo manzese .....
 
Mpendazoe ameanza kuongea sasa na anasema juu ya nchi kukosa uongozi kutokana na chama dhaifu cha CCM.

Anasema kuwa CCM haijajivua gamba kwani ameingia Zakia kwenye CC wakati yeye ndio alikuwa wazirio wa fedha wakati wa EPA na Kagoda, anasema kuwa Chiligati ndio aliwaambia wabunge wa CCM kuwa wale wanaopambana na ufisadi ndani ya chama watoke kwani hawana hoja kwenye kikao cha kamati ya wabunge.
anasema hapo hakuna gamba lililoptoka ila wameongeza kuimarisha magamba yao.

CCM haiwezi kujivua gamba kwani imepoteza dira ,

Uozo wa CCM umeanzia kwenye matawi kwani ukiona viongozi wa matawi wa CCM wakigombea wanauana wakati hakuna mshahara .

anasema kuwa
Ndugu zanguni, nyie huko mmeenda na desktops nini hata sioni "posted via mobile"🙂
 
Kwakweli sasa chama kinakua na kiko teyari kuchukua dola. wakati leo tulikua tunawapeleka puta dodoma mpaka AG anataka kulia , saa chache makamanda wengine wa ukweli wanaenda waadhiri Tabora.... Hazina nzuri ya viongozi na hii nikuonyesha kwamba tuko teyari

Tunaitaka list..Tabora oana historia kubwa sana ya ukombozi ni imani yangu pia ajenda ya ukombozi wa pili ambao ndio ukombozi wa kweli utatoka Tabora leo.

Wanabahati wamesalimu Amri, leo sijui wangehamishia attention yao wapi maana walikua wapigwe kila angle.

Tupe list......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom