Tabora Badilikeni nyie wanyamwezi

Lowasa mwenyewe kasoma na kutarijikia CCM,halafu leo anasema CCM mbaya.Kweli shukrani ya punda mateke
 
Lowasa mwenyewe kasoma na kutarijikia CCM,halafu leo anasema CCM mbaya.Kweli shukrani ya punda mateke

Chama sio biblia wala msaafu, pia kwani ccm ndio chama cha kwanzatz? kwanini tanu na ..... vilizaa ccm?
 
Unajua sehemu iliyo tawaliwa sana na waarabu koko ni kazi sana kufunguka kifikra.

Kuna ka ukweli wenyewe wanaimba. Tanga kuna nii,. Kilwa je na sasa Tabora, Ujiji na Mtwara wameshajikomboa.
 
Acha waichague CCM wabakie na umasikini,ujinga na maradhia yao
 
Back
Top Bottom