macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 28,280
- 56,988
Nitafute fedha kwa kupangiwa na kufuata sheria kibao na wakati wa kula nipangiwe tena sheria jamani?????? Big NO! Ni sisi waafrika tu na ulimbukeni wetu! Mbona waarabu, wachina na wahindi wana mila zao za kula na wanaziheshimu? BTW Mimi sitakaa nizoee huyu mdudu anayeitwa eti western table manners! Hata ninapokuwa kwenye sehemu zinazohitaji nile kwa mpangilio huo mimi huwa sifurahii kabisa chakula.![]()
![]()
![]()
Msosi unageuzwa lecture..
Nilialikwa na rafiki yangu mmoja kumbe alikua na wageni wazungu bwana, akaanza kunipa somo jinsi ya kushika uma mara kuweka vitambaa shingoni ili uschafue nguo..
Nkamwambia braza eh, maisha mafupi haya.. sheria hizo tutazifuata tukiwatembelea nchi zao, kama wapo hapa mi nitanawa na nitakula kwa mikono
Respect our culture![]()