Tabia zake utata mtupu

Niendelee naye?

  • Ndiyo

    Votes: 2 28.6%
  • Hapana

    Votes: 5 71.4%

  • Total voters
    7

@lara1 effect hiyo.,!! Wanachanganya changanya tu swanglish... lara 1 anajiweza kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Where is that idiot from? Kwa kifupi hakufai.
 
@lara1 effect hiyo.,!! Wanachanganya changanya tu swanglish... lara 1 anajiweza kidogo.

Dah..binafsi huo mchanganyiko wa mlenda na pirau unanipa shida sana kumeza..
Sikuwahi kufundishwa pishi la namna hiyo.

Huyo wa kwenye blue nae ni yale yale tu.
 
hizi ni hadithi za kutunga,ila kama kweli basi naamini wanawake wameumbwa kwa ajili yetu wanaume na tuwatawale kwa kila jinsi,yaani dalili zote hizo bado mtu unauliza niendelee naye! kuna mtu alisema waalimu wa wanawake ni vipofu! achana naye acha ujinga unchezewa wewe!
 
na wewe pole kama hujaweza elewa code mixing na switching, yes ni lugha ya watu so nitaichakachua vile i please.. sikuomba ushauri wa language, kama hukuelewa, ahsante pia

Ni ushauri wa aina gani ulio uomba????
Lugha ndio tunayotumia kuwasilia na kutolea ushauri pia.
Sasa kama lugha unayo itumia haieleweki tutawezaje kukushauri???
 
Anyway ngoja tu tufupishe maelezo...

Kimbia haraka mno na siku nyingine kabla hujajipendekeza kwa mwanaume hakikisha umemchunguza vizuri...

Yaani usimkabidhi moyo wako mtu asiyeweza kuujali, utaishia kuumia mdogo wangu...

 

mhhh matango pori haya! Mume wa mtu huyo tayar! Afu unataka umshaur jins ya kuish naye kama mchumba! U cnt be crious!....
 
jinsi mapenzi yanavochanganya ndivo na taaarifa yako ilivonichanganya,,,,hebu iweke vizur.
 
Anyway ngoja tu tufupishe maelezo...

Kimbia haraka mno na siku nyingine kabla hujajipendekeza kwa mwanaume hakikisha umemchunguza vizuri...

Yaani usimkabidhi moyo wako mtu asiyeweza kuujali, utaishia kuumia mdogo wangu...

asante watu8
 
Hapo kwenye Poll ongeza kipengele cha "Amua mwenyewe" ili tuitumie haki yetu kiufasaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…