Tabia za watu huendana na majina yao... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabia za watu huendana na majina yao...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Jun 10, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Mara nyingine inachukuliwa kimzaha lakini ina ukweli. Sio wote lakini zaidi ya asilimia 75 ya wanawake wenye majina yafuatayo wana tabia zifuatazo (nataja wachache)

  Rose - viongozi, wanapenda sana waume zao, wachapa kazi endapo wakiajiriwa
  Lilian - M alaya, wengi hupata mimba kabla ya kumaliza shule, sexy, mapepe
  Mary - hawatabiriki, wengi ni watiifu sana na hawajiamini, akiaribika anaharibika jumla
  Flora - ni wachakarikaji sana kimaisha, wana misimamo sana na akiolewa mume asipokuwa makini anatawalika

  mengine ongezenei wenyewe. mi ntaongeza baadae

  Kwa wanaume
  Frank - ni wahuni, mabishoo, wanabadili wanawake kila kukicha
  Ben - wana busara, wanapenda madem, ni viongozi wazuri
  Peter - Ni viongozi wazuri, wana hekima
  James - wana utani sana, wanavutia sana wasichana, na wanacheat sana, hawako siriaz

  mengine ntaongeza baadae...
   
 2. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Isdory- Viongozi wazuri sana.
   
 3. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mie naitwa Siwema.
   
 4. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Tuko - wachokozi sana, huamini vitu bila vielelezo, hupenda kutunzwa bila yeye kutunza..... hahahaha
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Give us more...

  John
  mwanahawa
  David
  Mwanaarafa
  Dotto
  Elizabeth
  Mwajuma
   
 6. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Mh!.. Mi nnavyojua tabia ya mtu inatokana na malezi aliyopata kwao + mazingira anayoishi + shule alizosoma... Ila jina?? Sijawahi kusikia!
   
 7. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Hahahahah......jf bana!Konakali - Wachokozi sana, hupenda kuchekesha watu..
   
 8. std7

  std7 JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Kwa baadhi ya watu tabia zao zinafanana na majina yao mf. Benjamini ni watu wenye msimamo.
   
 9. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  sample size na mode of sampling ya utafiti wako plzzzzzzzz
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hebu kwenye kila jina toa mifano ya watu maarufu watatu ili kuitetea hoja yako.. vinginevyo sikubaliani na wewe.
   
 11. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,727
  Likes Received: 8,292
  Trophy Points: 280
  Frank- wewe ni muongo sana! nimesoma Old Moshi mimi kuna bro wangu mmoja sasa hivi anapiga masters KCMC anaitwa Frank. Huyu jamaa jina lake shule mpaka anamaliza medicine muhimbili pale mwaka juzi nadhani alikuwa anaitwa MCHUNGAJI. Jamaa mpole, mnyenyekevu, fun to be with, ameokoka ki ukweli..yani quite contrary to how you described the owners of the name!

  Ben-50-50! (no comment)..ila usirudie tena....
   
 12. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #12
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180

  Elizabeth - wabishi, wanajifanya kila kitu wanajua. wana akili sana lakini hawadumu katika ndoa..
   
 13. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mkude na palanjo wafupi!
   
 14. M

  Marytina JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Martina wana tabia gani?
   
 15. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #15
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  mi naitwa sangara,tabia zangu zipoje kulingana na unajimu wako.
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  kina Siwema kila kukicha wanashinda kwa waganga. Hata wakijikwaa wanaona wamerogwa.
   
 17. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Fiona, please nitabirie
   
 18. a

  andry surlbaran Senior Member

  #18
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  faiza foxy na malaria sugu je??!!
   
 19. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  wana magamba hadi machoni
   
 20. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  jamaa karithi mikoba ya Shekh Y nini?
   
Loading...