Tabia za wanawake zinazokera wanaume lakini hawasemi

Tabia za wanawake zinazokera wanaume lakini hawasemi

Mwanamke hata umhonge
Kiwanja cha hekar 100
Kama hajakupenda hajakupenda tu
Anakua anafuata tu pesa kwa
Huyo mwanaume

Lakin mkimpenda mwanaume
Kwa dhat hakika mapenz
Mnayaonesha hata njaa
Mnalala

lakin tunawapenda tuu
Maana bla nyinyi


=chai bila skuar
tofautisha muolewa.na kahaba

kahaba huwa haridhiki.
 
Nikisema sina au sitaki kitu flan halafu akanuna aiseee ntamlia bati hilooo na nanikikuta kiburi km mimi tunaweza tusitafutane kabisa sipendi kbs mwanamke asiyemuelewa...mwanamke lzm uwe muelewa hadi mimi mwenywe nijistukie na sio kunipelekesha...
 
Kupenda kupiga piga picha kila dakika kuna wengine hata wakiwa msalani wanapiga picha
 
Zote ni nyongeza lkn hiyo namba 1 ndiyo chukizo kwangu!
Mwanamke anaomba hela hadi ya matibabu ya kaka yake?Huyu wangu mpuuzi sana aisee!
Kaka yake kapata ajali ya bodaboda matibabu Muhimbili nigharamie mie?
 
Baby leo si tutaenda beach...... Wakati jana Umetok naye kutufua km laki nzima

Baby sasa si unajua Hii smartphone nimeichoka...

Hahahhahah mie nakunyamazia ka sikuoni
 
Ndivyo walivyo, hivyo kwa kuwa umewafaham, piga kazi, mhimu ni uvumilivu na kudeal nao kwa akili
 
Back
Top Bottom