Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Kusoma kunasaidia kuwa allergic na bullshit!
Aiseeee!!!!!!!!!!
Kusoma kunasaidia kuwa allergic na bullshit!
Hili si kweli labda useme baadhi yao, mimi nawafahamu wasomi tena wa hali ya juu lakini ni watu poa sana. Hawana majivuno wala maringo, ila wnazijua haki zao na hawakubali upumbavupumbavu wa aina yoyote ile.
Wawache wabaki kujazana ujinga!
Hela huna!
Shule huna!
Hata mkwaaara tu wa kiume huna!
Kafie mbele!
Mpo wachache mliosoma lkn pia mmetulia kama hivi...angalia majibu ya wenzako hapo kachallange kadogo tu wanashidwa kuargue wanatukana na kumshusha mtoa mada.. Lkn pia naona kwa mademu wa kibongo..huwa nafikiria huko mahostel chuo huwa hawafundishani nanma ya kujenga hoja..? No wonder mtu akiwa ndani anapiga makelele tu akitumia nguvu ya kusoma na hela..Kusoma na tabia ya mtu ni vitu tofauti. Kuna watu hawajasoma na waliosoma wana tabia ulizotaja.
Sema elimu inamsaidia mtu kujitambua, ndio hapo mtu atakuona unaringa, na hayo mengine.
Wengine mnapenda wanawake wa kuwapiga mizinga muwanyanyase, ukiona mwanamke anajimudu ukileta ujinga anakutupa kule unahisi anaringa na ujeuri, ni kujitambua tu.
Umejuaje mtoa mada anaelimu ndogo..huko mahostel hamfundishani nan mna ya kuargue mkipewa challange kidogoInferiority complex ni tatizo sana kwa wanaume wenye elimu ndogo pole....
Mkuu hapo mtoa mada hata ana haja ya luthibitisha kweli..embu angalia hapa walivyopanicAiseeee!!!!!!!!!!
Sasa hapa si ndo unapigia mstari kabisa alichosema mtoa mada..?Kusoma kunasaidia kuwa allergic na bullshit!
Mbona umepanic sana.. Au mtoa mada kagusa kitu..?!upuuzi mtupu....kaoeni wasiosoma
Mtuache.....
Pole pia, maisha ya hostel nishayavuka enzi za mwalimuUmejuaje mtoa mada anaelimu ndogo..huko mahostel hamfundishani nan mna ya kuargue mkipewa challange kidogo
Hivi wewe ni msomi eehhh!?
Inferiority complex ni tatizo sana kwa wanaume wenye elimu ndogo pole....
mwanaume unatakiwa kujiamini!!!
Pole pia, maisha ya hostel nishayavuka enzi za mwalimu
hiyo ni inferiority complex over
He he he forever young....Hehehe hongera. You sound msichana aisee. Karibu supu ya kongoro
Sawa kabisa....mimi napenda mwanaume anayejiamini nakutambua nafasi yake aliyopewa na Mungu....hata kama hajaelimika au hana pesa ataheshimika tu....hebu na muanze kujiamini ninyi watu